Handeni na Bagamoyo Mjini, wapi pameendelea zaidi?

Handeni na Bagamoyo Mjini, wapi pameendelea zaidi?

Dullah25

Member
Joined
Nov 14, 2017
Posts
10
Reaction score
1
SAMAHANI WADAU. .


Hivi mji wa Handeni na pale Bagamoyo Mjini wapi ni pakubwa zaidi au panaonekana pamechangamka sana?

Na vipi Handeni mji na Mafinga Mji wapi pamechangamka sana au pameendelea zaidi?
 
Bagamoyo ni mji inaokuwa kwa kasi kwa sababu moja mungiliano Dar pia kunaujio wa viwanda pia kuna ijio wa Bandari ya mbegani.

Handeni ni pakubwa ila mjo haukachangamka sana ikishafika saa 12 jioni hata mahali pa kula ni shida.

Sioni ukuwaji wake kws naadaye kwasababu sioni vitega uchumi vyovyote hapo Handeni.
 
Ngoja waje mkuu, ila kuhusu Mafinga na Handeni hapo hata mimi mkuu naweza kukwambia kua usiufananishe mji wa Mafinga na Handeni, Mafinga ni habari nyingine.
 
mafinga mchezo usiuchezee.ukiondoa mbeya mjini,na morogoro mjini.mafinga ndio mji mkubwa pekee na wa kisasa kuliko makambako,kibaha na mlandizi.ila kwa handen na bagamoyo watakuja.
mafinga ni pazuri sana
 
Back
Top Bottom