Handeni high school ipo wilayani handeni mkoani tanga . Kutoka stand adi shuleni ni kilometer 1 tu maana yake shule ipo mjini au wilayan. Walimu wanafundisha vzr sana ata ukiangalia matokeo ya advance mwaka 2016,2017, na 18 . Kiukwel shule ipo vzr sana walimu ni wakutosha ambao wanajitolea kufundisha . Nb tatizo kubwa lililopo Handeni ni maji tu . ila kila kitu ni flesh sana ukitaka msaada zaid nichek kupitia no 0757889442