Handaki la Makambako

Kanisa la kilutheri la Makambako maarufu kama JOGOO kutokana na sanamu ya jogoo iliyopo juu ya kanisa.....

hahahah!
mzee unanikumbusha mbali sana!hapa jirani kuna machinjio,dah!barabara bomba inapita hapo
 
Tatizo ni umaskini wa kufikirika wa watanzania,na siyo mainjinia wenyewe.wawezeshe uone.mfano,structural eng. Wa daraja la rufiji ni mtanazania.
Also check these some tanzanian`s eng. Products
 

Attachments

  • l.bmp
    l.bmp
    978.6 KB · Views: 100
Tatizo ni umaskini wa kufikirika wa watanzania,na siyo mainjinia wenyewe.wawezeshe uone.mfano,structural eng. Wa daraja la rufiji ni mtanazania.
Also check these some tanzanian`s eng. Products

Lipo nchi gani hilo?
 
Tatizo ni umaskini wa kufikirika wa watanzania,na siyo mainjinia wenyewe.wawezeshe uone.mfano,structural eng. Wa daraja la rufiji ni mtanazania.
Also check these some tanzanian`s eng. Products

Mzee hiyo picha uliyoattach itakuwa ya nchi nyingine sidhani kama bongo tuna structure kama hiyo
 
Hapa umenikumbusha mbali sana niliwahi pita miaka kama 7 iliyopita mazee ipo bomba hiyo kitu.
Mkuu hapa unawaonea ma enginia wetu wangeweza fanya maajabu ila shule zetu zinalenga sana kwenye kukariri kanuni zilizogunduliwa enzi hizo.
 
Tatizo ni umaskini wa kufikirika wa watanzania,na siyo mainjinia wenyewe.wawezeshe uone.mfano,structural eng. Wa daraja la rufiji ni mtanazania.
Also check these some tanzanian`s eng. Products

Hii naona kama ni USA. Bongo bado sana kufika huku, na sidhani kama tutafika.
 
Hii naona kama ni USA. Bongo bado sana kufika huku, na sidhani kama tutafika.

Tukifikia level ya Tanzania safi isiyo na chembe za ufisadi vitu kama hivyo vitakuwa kawaida sana.Ila bila kubadilika basi tutaendelea kutumia masaa mawili toka ubungo hadi Shekilango!
 
Mzee hiyo picha uliyoattach itakuwa ya nchi nyingine sidhani kama bongo tuna structure kama hiyo

Jamaa amesema nikazi mojawapo ya Mtanzania, hakusema hiyo structure iko Tanzania.................Ni kweli Wahandisi Watanznaia wengi tu wanafanya vizuri sana kwenye anga zao........

Mkuu Mndundu nimeiona TZB aisee
 

Hata pale Chuo Kikuu Mlimani Hall one kuelekea cafeteria/Daruso lipo kama hilo in smaller scale. I suppose lolijengwa na watanzania sina data kamili nani alijenga
 
Hata pale Chuo Kikuu Mlimani Hall one kuelekea cafeteria/Daruso lipo kama hilo in smaller scale. I suppose lolijengwa na watanzania sina data kamili nani alijenga

Kwanini unasuppose lilijengwa na watanzania? litakuwa lilijengwa na waliojenga chuo na kwa kipindi hicho sidhani kama project yote ilikuwa chini ya wahandisi wa kibongo. Labda tuanze kuangalia katika miaka ya 60 hadi 70 ni akina nani walikuwa mainjinia maarufu (wazawa) nchini kwetu.
 
Jamaa amesema nikazi mojawapo ya Mtanzania, hakusema hiyo structure iko Tanzania.................Ni kweli Wahandisi Watanznaia wengi tu wanafanya vizuri sana kwenye anga zao........

Mkuu Mndundu nimeiona TZB aisee

Mkuu hilo la uwezo wa kikazi wa mainjinia wa kibongo mi silipingi, tatizo langu kwanini hizi solution kama za mahandaki zipokwenye structures zilizojengwa enzi hizo tu, wakati kipindi hiki au miaka 20 mbele ndio tutahizitaji sana kupunguza msongamano ......

Kweli mzee unamacho, maana hiyo TZB ipo kama haipo vile 🙂
 

Labda kama kuna anaejua atuambie ni nani aliejenga hilo flyover la Mlimani, wengi wetu tulikua hatujazaliwa nyakati hizo
 
To be more specific we better say engineers from China. Hapa ubungo wangekua wameshapitisha barabara juu/chini na madaraja ya kuvuka watu kwa miguu. Jamaa wako fit sana hua tunawaponda for nothing!

Mkuu FOE kila siku najiuliza ni kwa nini wakati wanajenga barabara ya SamNujoma hawakufikria kulifanya lile Daraja Ubungo kuwa Flyover ukizingatia ule Mto ni almost huwa unakuwa Mkavu na hata kama una maji wangeweza kutafuta namna ya Kudivert maji chini wakapitisha Barabara, au Watu Civil and Transportation Engineers wanasemaje?
 
Inanikumbusha enzi zangu za Tosamaganga tunapanda TAZARA free kutoka Makambako mpaka Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…