Hana Makosa ila Bunge ndio limekosa Busara

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
HANA MAKOSA ILA Bunge LIMEPOTEZA BUSARA YAKE.

Si kila kauli inakuja kwasababu ya Hasira, kauli zingine zinaweza sababishwa na kiti chenyewe kinapokosa Hekima. Mabunge mengine Nchi zingine wanarushiana mpaka viti, wanapigana ngumi, wanatukanana kama watu wa mtaani, yote ni kwasababu Ndani ya Bunge kila mmoja anatetea upande wa Wananchi wake. Go goo MP Halima Mdee. USIKU MWEMA.
@D.N. KISANDU
FB_IMG_1491507050808.jpg
 
Usiumize kichwa. Si Ndugai; ni CCM wenye agenda yao na usikute PK ana mkono kwenye maamuzi ya CCM. Upinzani umebinywa sana kama mh Lema anavyosema: ukemea nje unawekwa ndni tena bila dhamana, ukijaribu kusenea bungeni unazuiwa. Hatinaye hasira zina wapanda wanaropoka na kuadhibiwa. Mimi siwalaumu hata kidogo kina Mbowe na Mdee. CCM wana agenda yao na wanaijua wenyewe. Uongo kamwe hauna maficho ya kudumu, hatimaye yote yatakuwa wazi na wote tutakuwa huru.
 
HANA MAKOSA ILA Bunge LIMEPOTEZA BUSARA YAKE.

Si kila kauli inakuja kwasababu ya Hasira, kauli zingine zinaweza sababishwa na kiti chenyewe kinapokosa Hekima. Mabunge mengine Nchi zingine wanarushiana mpaka viti, wanapigana ngumi, wanatukanana kama watu wa mtaani, yote ni kwasababu Ndani ya Bunge kila mmoja anatetea upande wa Wananchi wake. Go goo MP Halima Mdee. USIKU MWEMA.
@D.N. KISANDUView attachment 492089
foolish thread ever
 
Honestly the guy deserve it!!! Kuna sehem anaonekana kabisa anaongea ujinga.

kwamba kuna barua ameandikiwa na mbunge kuhusu uteuzi wa CUF na akaijibu vizuri TU, dhen kaifuta iyo barua aliyo ijibu dakika chache kabla ya uchaguzi wa wabunge na hakumpa hata taarifa mbunge sliye mjibu!
 
Kuna tetesi Spika alimwambia Halima "akikalishe".Nini maana ya kumwambia mwanamke akikalishe?

Spika pia alihoji ni nani ni mwanamke katika ya Masha na Wenge?
 
wajitaidi wapatane na Ndugai maana wakishindwana na huyo yule mama naibu (kiboko ya mabishoo) atapewa kiti aongoze yeye ili watu wakimbie wenyewe
 
Mzee Hana aibu yule jamani. Alimsema vibaya ndio Maana na yeye akajibiwa tusi. Mkubwa asipoji heshimu matokeo yake Ndio hivyo
 
Kuna tetesi Spika alimwambia Halima "akikalishe".Nini maana ya kumwambia mwanamke akikalishe?

Spika pia alihoji ni nani ni mwanamke katika ya Masha na Wenge?

Hili Bunge huwa linanifurahisha sana, linaakisi Tabia za Mizaha mizaha za Watanzania!

Mh. Mbunge anamwita Spika Fala

Nae Spika anamwambia Mbunge 'Kitulize chini..hicho kinanii chako '

Daudi Albert Bashite hata Kama Ana zero shuleni yupo sahihi kusema Bungeni ni sehemu ya Vichekesho!

Hawa ndio Viongozi ambao wanataka Majina Yao yaanzie na Neno 'Mheshimiwa '
 
Dini inakataza matusi. Hivyo Mh Halima Mdee kafanya kosa aombe msamaha
Ni tusi kwa tafsiri ya chama chakavu kwamaana upumbavu ni kukosa ustaarabu aka usio elimika yaani unaweza ukawa umesoma ila haujaelimka hauna ustaarabu hivyo wewe lazima unakua ni MPUMBAVU na unayoyafanya yatakua yakipumbavu . Full Stop. Kwani alipomtia mwenzie bakola ya kichwa si ndio upumbavu wenyewe alifanya na anaendelea kufanya.
 
Hili Bunge huwa linanifurahisha sana, linaakisi Tabia za Mizaha mizaha za Watanzania!

Mh. Mbunge anamwita Spika Fala

Nae Spika anamwambia Mbunge 'Kitulize chini..hicho kinanii chako '

Daudi Albert Bashite hata Kama Ana zero shuleni yupo sahihi kusema Bungeni ni sehemu ya Vichekesho!

Hawa ndio Viongozi ambao wanataka Majina Yao yaanzie na Neno 'Mheshimiwa '
hahaha ni kweli asee
 
Back
Top Bottom