Hana hisia na mimi

Inaelekea huwa unamkwaza sana au tabia zako c nzuri ulishamcheat sasa kila anapovuta hisia anaona kama anamwona mtu ambaye unatoka nae. ilishanikuta na mimi mpaka nikahamua niachie ngazi.
Kukwazana kunakuwwpo sometimes lakini sidhani kama ndio kigezo za kutokuwa na hisia na mtu wako completely. Ingekuwa ndio hivyo kwenye ndoa sijui kungekuwaje.
 
mhh how dd u know nipo ars?

Location iliniongoza Baby M



Join Date : 18th April 2012
Location : arusha
Posts : 273

Rep Power : 462

Likes Received
61
Likes Given
481
 
Last edited by a moderator:
Mh!Hapo kuna mawili la!Kuna jambo umemkwaza au humridhishi au pengne kaxapata mwngne muulize vizur why?
 
Mh!Hapo kuna mawili la!Kuna jambo umemkwaza au humridhishi au pengne kaxapata mwngne muulize vizur why?

Kwa mtindo huu michepuko bado itaendelea kupiga bao tu...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Huo ndio ukweli unadaidiwa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…