akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
hapo mkuu atakuwa ana m2 wake na anampenda ka vp we mpotezee af uone itakuaje,kama anakupenda atakutafuta kama hakupend jumla
Acha kwanza kuwaza kuwa anamegwa. Fanya yafuatayo;
1-Mpe uhuru wa kuwa mbali nawe kwa muda ili mpate nafasi ya kujitafakari upya.
2-Badili style za kukurukakara muwapo 6X6.
3-Mpeleke mbali na mkoa ili apate wasaa mzuri nawe.
Kila la heri.
kwa maelezo yako aisee ni kwamba penzi lishachuja!anza kumsahau tu taratibu maana atakua amepata..mwngne zaidi yako.Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona hajali. Kwa mfano, nisipomcheki kwa simu tangu asubuhi hadi jioni na yeye anauchuna.
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona dizain ameactivate "don care mode"
kwa maelezo yako aisee ni kwamba penzi lishachuja!anza kumsahau tu taratibu maana atakua amepata..mwngne zaidi yako.
Then you should shift to a "balistic misile mode"
Ndio ipoje hiyo?
Wadau, nina girlfriend
wangu ambae tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka 2. Kwa miezi kadhaa sasa
naona amebadilika linapokuja suala la mambo ya chumbani.Dizain inabidi
nitumie ushawishi mkubwa ili kupata tunda, then ye hatoi ushirikiano
kabisaaaa (kama natupia kwa maiti vile). Katika kumuuliza vizuri
akafungua kwamba hana hisia za kimapenZi na mimi. Hii hali imeniumiza,
na nimebaki na maswali mengi kwa kweli. Je ni kweli kwamba mtu unakosa
hisia kabisa za ku do na mtu wako au ndio kuna fundi kashafanya
yake!!?
Nimejaribu kufanya hivyo, lakini naona hajali. Kwa mfano, nisipomcheki kwa simu tangu asubuhi hadi jioni na yeye anauchuna.
Hapo hakutaki tena madam hamjaoana tafuta mwingine
Duuu aiseee, ndio wife to be, tumefika mbali mno...