Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi
Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza[/🙂QUOTE]
kama una twins niiuzie basi, jamani natamani twins sana jamani uwiiii
Mimi hii thread inanitonesha kidonda....................... naomba nisicomment zaidi
Mimi hii thread inanitonesha kidonda....................... naomba nisicomment zaidi
Pole utapata mwingine
Dawa ya kidonda cha moyo ni kuongelea hilo jambo, mwishowe unalizoea
Kulizika moyoni ni hatari
Aksante The secretary................I hope so ingawaje klinachosumbua ni hiyo process yenyewe.
You are right Kongosho but unajua huwa kuna complications kibao sio kama wanaume ambao wao wanaweza tu kutotolesha popote.............. I just wish na nilivyo na hamu ya katoto kanakotambaa!! we acha tu
mie natamani twins nifunge kazi, yaani Mungu anijalie haja ya moyo wangu.
Ila watoto wana raha jamani,mm hata boss wangu akinisumbua nikikumbuka watoto wangu najiskia raha moyoni.Da Mkubwa, nikuone Privately? Aisee karibia nadata mdogo wako ujue!
Ukipata hao twin chukua watatu mmoja utanigea mie lol
Aksante The secretary................I hope so ingawaje klinachosumbua ni hiyo process yenyewe.
You are right Kongosho but unajua huwa kuna complications kibao sio kama wanaume ambao wao wanaweza tu kutotolesha popote.............. I just wish na nilivyo na hamu ya katoto kanakotambaa!! we acha tu
Wadau nisaidieni mie ni kijana mwenye miaka 26.. kiukweli ni mekuwa na hamu sana ya kupata mtoto na hamu hii imeanza mwaka jana nilipoanza kazi tuu. imefika mahali mpaka na google picha za watoto na save in my pc. sijielewi wadau na kiukweli nahisi naweza nikawa napata matatizo ya kisaikolojia taratibu.
Da,,umeniumiza pia!!
Mtoto angekuwa nguo ningenunua kwa gharama yoyote.
Ndio maana call ringtone yangu mimi ni ya Mwanamuziki wa kundi la Mushroom,usemao
MTOTO SI NGUO
UTAOMBA MTU
KOSA WAKO UTALIA SANA,
NAKOSA WANGU EE MI NALIA SANA...
=
mshumaa mie ni mwanaume tena kamili saaana but swala la kuwa na mtoto siyo kuzaa zaa ovyo tuu. mtoto bora na smart ni yule anayezaliwa na wazazi wanaopendana kwa dhati na hasa wanaoishi pamojaKama wewe ni wakike sishangai sana..lakin kama ni wakiume mh! Jaribu kwenda kwa wataalam..ila pia kama unaweza kupata huyo mtoto na una uwezo wa kumtunza yanini hujitese!