Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Ha ha ha, mie mwenyewe nawatamani
Naskia kuna dawa za kurutubisha mayai yaongeze chances za ku-split, natamani kuzinywa ila naogopa nisije zaa zezeta
Naskia kuna dawa za kurutubisha mayai yaongeze chances za ku-split, natamani kuzinywa ila naogopa nisije zaa zezeta
Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi
Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza[/🙂QUOTE]
kama una twins niiuzie basi, jamani natamani twins sana jamani uwiiii