Hamu ya kuwa na mtoto

Hamu ya kuwa na mtoto

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Wadau nisaidieni mie ni kijana mwenye miaka 26.. kiukweli ni mekuwa na hamu sana ya kupata mtoto na hamu hii imeanza mwaka jana nilipoanza kazi tuu. imefika mahali mpaka na google picha za watoto na save in my pc. sijielewi wadau na kiukweli nahisi naweza nikawa napata matatizo ya kisaikolojia taratibu.
 
Wala sio tatizo la kisaikolojia,hiyo ni nature ya mwanadamu yeyote coz Mungu amemuumba mwanadamu kuwa na tamaa ya kuwa na waoto na kujenga familia yenye furaha,sema hapo swala ni lako wewe mwenyewe unasubiri nini kuzaa?Mbona umri wako unaruhusu au hata kuoa hujaoa?Tafakari chukua hatua.
 
blue cjaoa ndugu yangu inatokana na kwamba niliyapa mapenzi kisogo after being heart broken..... n i always wish mwanangu apate malezi ya pande mbili which means i have to marry... sasa nani wakuwa mzazi mwenza ndo ambapo tatizo linaanzia.
 
Pole, atakuja tu wa kukufaa

Mwambie mama yako kama ni mwelewa atakuongoza, ila usimwache akufanyie maamuzi yote
 
Aiseee pole sana kwa kuumizwa lakini hivyo ndivyo maisha yalivyo kuanguka,kujifuta vumbi na kisha kusonga mbele,kwa hiyo yape kisogo mawazo yako ya kuumizwa anza kumsaka mama wa watoto wako kwa umakini zaidi na hakiak utampata mpaka usiamini,ila bila kumsahau kumshirikisha muumba wako hangaikkio lako.
blue cjaoa ndugu yangu inatokana na kwamba niliyapa mapenzi kisogo after being heart broken..... n i always wish mwanangu apate malezi ya pande mbili which means i have to marry... sasa nani wakuwa mzazi mwenza ndo ambapo tatizo linaanzia.
 
Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi

Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza🙂

hope they are making you happy sana than usumbufu when t comes to comparison
 
Aiseee pole sana kwa kuumizwa lakini hivyo ndivyo maisha yalivyo kuanguka,kujifuta vumbi na kisha kusonga mbele,kwa hiyo yape kisogo mawazo yako ya kuumizwa anza kumsaka mama wa watoto wako kwa umakini zaidi na hakiak utampata mpaka usiamini,ila bila kumsahau kumshirikisha muumba wako hangaikkio lako.
bonge la ushauri thanks mdau
 
Kama unakipato cha maisha kwanini usifikiria habari ya kuwa na familia, yaani mpango ya kuoa.
 
nakuelewa Madame x but tatizo ni mchakato wakupata mama mtarajiwa.
 
Hamu ya watoto huja, mie it started when I was 23, yaani nilikuwa natamani hadi basi

Kwa hiyo ni kawaida kabisa, sasa hivi walivyowasumbufu, huwa natamani kuwauza[/🙂QUOTE]

kama una twins niiuzie basi, jamani natamani twins sana jamani uwiiii
 
tena hao ndo mwisho wa mchezo i think nikiwapata ndo na hustling itaongezeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom