George Habbash anakuambia dada yake anamzika nyuma ya nyumba yao ,watoto wa dada zake anao mkononi askari wa kizayuni wanakuja kumtimua nyumbani anawauliza niende wapi na hawa watoto ,anatukanwa na kusukumizwa ,wale watoto wakafa mikononi kwakeHawa ni watoto wa kipalestina hawaogopi kitu! Unakuta dogo wazazi wake wote walishauawa na nyumba yao kubomolewa sasa aogope nini tena?