Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,556
Kuna balaa kagfungua bolt 5 halafu wakati wa kurudisha kafunga zote 5 halafu kuna 2 zimebaki hazina pakufungwa. Apo fundi anahangaika kujua ni wapi zimetoka, mwisho wa siku unakuta kuna sehemu hakujafungwa...na kwenye magari ndio mbaya sana watafungua kitu kina bolt 5 wakati wakirudisha hawafungi bolt tano walizozitoa watafunga 3 au 4 kama usipokuwa muangalifu imekula kwako
Kuwaachia madogo ni part ya training. Watu wanarithishana ujuzi kwa namna hiyo kwahiyo fundi yy anaangalia km kazi inaenda sawa. Mwisho wa siku madogo wanaiva na kuwa mafundi. Msilalamike sanaBora awaachie lkn kazi ifanyike.
Kuliko awaachie afu waharibu kazi.
Bila kufanya hivyo hao vijana hawawezi kuwa mafundi na atakufa na maarifa yake.na hao vijana wakiwa mafundi nao watawaachia vijana. And that what's called EDUCATION.Mafundi wengi wanakera sana! Hasa mafundi magari na mafundi ujenzi. Unaelewana nae vzr kabisa lakini unakuta anawaachia vijana wake kazi.Yeye anakuwa kama Consultant anawasimamia tu.
Unakuta fundi magari yeye anafanya kazi kwa vidole tu yaani! Halafu manyoka ndo wanaumia mbaya kabisa.
Mafundi wakuu acheni hiyo tabia mkipewa kazi msijifanye nyie ni Consultants.