Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Niliwahi Kuripoti humu hali ya sintofahamu kufuatia msigano baina ya waumini na viongozi wa kanisa la Moravian Mwananyamala Dsm
Baada ya Kanisa hilo kuzungushiwa ugo mwekundu na Jeshi la Polisi kuashiria hatari na waumini kupigwa stop kusalin hapo, hali ya amani ilirejea na waumini kuanza kuabudu kwa pamoja japo kwa inda, huku wakiongizwa na Mchungaji wa KKKT wakati sulhisho la kudumu likiendelea kutafutiwa ufumbuzi
Hali Hiyo Imeanza kurejea tena baada ya utengo wa dhahiri wa waumini hao ambao wakati wengine wakiamua kusali nje tena kwa vikundi, makundi ya waumini yamekuwa yakionekana baada ya Ibada huku wakirushiana maneno yenye taathira ya uvunjifu wa amani
yasemekana serikali imepanga kukutanisha pande mbili zinazosigana kwa utatuzi wa kudumu