Acha kutufokeaNaona watu wamecharuka sana kwa kila namna.
Mnajua kuwa kuna wazazi wanawakataza watoto wao wasiwajengee na hata kutengeneza chochote kwenye sehemu wanazoishi au hamjui hilo?
Basi kuna wazazi ndani maji hamna anakwambia wacha hivi hivi, hii ninayokwambieni ni ukweli kabisa, wao wanachotaka uwape hela yao cash waendeleze mashamba yao, na shughuli zao.
Hivi nyie mnaowasifia kujenga kwao, bora lipi kuwaangalia wazazi wako kwa kila siku kuhakikisha wanataka kile wanachotaka au kuwajengea tuu basi hiyo ndio imetoka.
Jamani inawezekana jamaa waliwaambiwa wazee wake kuhusu jengo lakini wazee wakakataa, wakataka kukae hivyo hivyo, au inawezekana hana uwezo huo wa kujenga?
Hapo wote mliochangia na kusema saaana , inawezekana wengi katika hapo hakuna alijenga kwao, kwanza kaanza kujijengea mwenyewe na kuanza kujiweka sawa kimaisha na vipi watoto wake itakuwaje.
Jambo la kujenga huwepo akilini tuu nitafanya nitafanya nitafanya, lakini wengi hamna alofanaya.
Pia sio vizuri jamani kusemanakusemana kila mtu ajiangalie mapungufu yake.
kama yako….
Akili za kuambiwa changanya na zako ... ndio maisha yetu haya.. unaweza kukuta nyumba ya mjukuu ile ndio maisha yetu hayaAibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
shangaa na wee mwenzangu, au ndio kujipigia chapuo ndani ya system, maan kampen za ubunge soon, lazima aoneshe yeye n kada mtiifu na mwanachama kindakindaki.Huyu boss kubwa hata pazia kashindwa kununua akaamua kuweka bendera ya ccm ?
plz taratibu me huku mbavu zinauma, et kaweka nn?Huyu kweli katia fora! Yani badala ya pazia kaweka bendera ya ccm?
leo sina mbavu wallahBasi bwana, duh
Dea kwan weee hujaona kipande cha bendera ya chama pendwa?Mapazia tu yamemshinda huyo Tale
And so he chose fame & shame...!Life is what you choose.
Ni kwa sababu tu amesafirishwa lakini hakuzikwa na jeneza
Ndiyo mkuu