Kwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...
Wamlinde Hamisi Kilomoni, watakuwa wamelinda hati yao na timu yao,
Wapenda haki ktk soka la Tanzania naamini watakusikia na kukuelewa kwa msg uliyoiweka hapa jukwaani, ila jukumu kubwa ni kwa Simba wenyewe..
Bi Hindu na Mzee Kilomoni peke yao hawawezi....wamejitahidi kupigania Club yao kwa kweli.
Nakubaliana na mtoa Post.