Hamisi Kilomoni alindwe

Huyo kilomoni kwanza ameshatimuliwa katika bodi ya wadhamini. Anazunguka kwenye vyombo vya habari oh sijui ana hati za Sunderland tangu wakiwa wanalipa ada sijui ya sh10. Kilomoni naona ameanza chokochoko kama zile za Akilimali enzi za uongozi wa Manji Yanga. Viongozi wa Simba wampuuze huyu mchumiatumbo. Timu kwa sasa inaongozwa kama kampuni hakuna kujichotea na kugawana hovyo tena.
 
Kuna mchezaji yoyote aliyelalamika hajalipwa mshahara?
unajua hela zinatoka wapi?
hauwezi ukaweka bil 20.halafu haujui zitarudi vipi hyo ni biashara kichaa.
Mimi nipo na moo..
timu imetulia.
ligi ya Tanzania kwa sasa haina uwezo wa kurudisha bil 20.
mwambie aanzishe timu yake asiing'ang'anie Simba kama bilioni 20 za kutoa
 
Shit! Kilomoni ni mmiliki wa klabu ya Simba?
 
Hivi hizo hati Kilomoni anazoziita anaimiliki Simba SC zimeanfikwa kwa jina la Kilomoni? Au umiliki huo umeanzaje?:-
1) Kilomoni Ndiye aliyeianzisha Simba kama timu Yake mwenyewe?
2) Kilomoni aliinunua Simba SC kutoka kwa walioianzisha?
3) Kilomoni sio mmiliki Bali alikabidhiwa hati za timu tu azihifadhi?

Au hebu nielewesheni kuhusu huyu the so called Kilomoni.
 
Kama hajui zutarudi vipi aondoke watakuja wengine wanaojua
Tumechoshwa na uhuni wa huyu muhindi
 
Simba na yanga ni zaidi ya uzijuavyo mkuu
Mo ajiandae kufungasha hatutaki wawekezaji wahuni
 
Povu la nini?!..........CEO wa Simba SC Magori alikiri pale Clouds kuwa MO hajatoa hizo fedha bali ana mpango wa kununua Hati fungani za serikali siku za mbeleni. Ndiposa watu makini kama Manara wakashtuka.
Njoo ufue nguo zako chafu!!! Hizo asilimia anazomiliki unafikiria unafugia majini?
 
Hatuwezi kuwa omba omba kama YANGA.
mzee kilomoni anatoa shilingi ngapi kuwalipa wachezaji?
simba ina vyanzo Gani vya mapato mpaka ushauri moo aondoke tujiendeshe wenyewe?
kwani club ni Mali ya mzee kilomoni mpaka hati za klabu alale nazo nyumbani kwake?
Kama hajui zutarudi vipi aondoke watakuja wengine wanaojua
Tumechoshwa na uhuni wa huyu muhindi
 
Hapa wanzania ndo tunapokuwa wagumu kuelewa. Kampuni sio majengo viwanja etc Bali ni nyaraka kadha wa kadha. Simba haiwezi ikawa kampuni/legal person nyenye uwezo wa kushitaki/kishitakiwa/kudai/na kudaiwa bila kuwa na nyaraka kadha wa kadha ikiwemo hati ya usajili na hati za Mali na madeni yake. Kampuni makaratasi kadha wa kadha bila hayo hamna kampuni. Kampuni inayoitwa Simba haipo trust me. Hapa Kuna ujanja ujanja wa kanjibahi na genge lake
 

Kwanini msiache simba na yanga ambazo ni za kizamani kumkaanzisha timu zenu za kisasa?
 
Mimi nataka nijue mo anaujanja ujanja kivip labda
20bn hiko wapi? Ahadi kibao huku anajipa competitive advertising advantage Africa nzima na football global connections bila kutoa chochote ila maneno. Hizo anazotoa Ni ndogo uklinganisha na flagship anayopewa na Simba Ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…