ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,695
- 2,633
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..Kwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...
Wamlinde Hamisi Kilomoni, watakuwa wamelinda hati yao na timu yao,
Wapenda haki ktk soka la Tanzania naamini watakusikia na kukuelewa kwa msg uliyoiweka hapa jukwaani, ila jukumu kubwa ni kwa Simba wenyewe..
Bi Hindu na Mzee Kilomoni peke yao hawawezi....wamejitahidi kupigania Club yao kwa kweli.
Nakubaliana na mtoa Post.
Kwa hiyo nyie watu wa Bi Hindu na Mzee Kilomoni mnaona mkataba wa MO unaharibu timu yenu? Au kwamba faida mnayopata sasa ingekuwa zaidi kama si MO? Kwamba timu yenu inashindwa kufanya vizuri kwa sababu ya MO? Kumbukeni akina Akilimali waliona Manji si kitu akajitoa na mmeona Yanga imebidi muibatize majina sijui omba omba lakini Yanga imepingana kiume. Lakini Pia mliwahi kulia sana na hali ilikuwa mbaya mpaka alipokuja MO. Msikimbilie ngojera za Hindu mtakuja kujuta kwa mpira wetu wa Tanzania ambao mashebiki hawawezi kuendesha timuSikiliza hoja zao kwanza,, ndpo useme mwekezaji Mo Dewji anafuata masharti ya mkataba wa uwekezaji Simba sports Club?
Mkataba wa uwekezaji Simba sports Club unauelewa? au Dada angu umbumbumbu unakusumbua....?acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
alindwe kivipi mkuu? ki uhai au kihali na kifedha? jaribu kuwa specificHuu ni ujumbe wangu kwa wapenda haki wote kwenye soka la Tanzania .
Masharti ya mkataba ndio muhimu...kafuatilie vizuri utajua issue ni nini?Kwa hiyo nyie watu wa Bi Hindu na Mzee Kilomoni mnaona mkataba wa MO unaharibu timu yenu? Au kwamba faida mnayopata sasa ingekuwa zaidi kama si MO? Kwamba timu yenu inashindwa kufanya vizuri kwa sababu ya MO? Kumbukeni akina Akilimali waliona Manji si kitu akajitoa na mmeona Yanga imebidi muibatize majina sijui omba omba lakini Yanga imepingana kiume. Lakini Pia mliwahi kulia sana na hali ilikuwa mbaya mpaka alipokuja MO. Msikimbilie ngojera za Hindu mtakuja kujuta kwa mpira wetu wa Tanzania ambao mashebiki hawawezi kuendesha timu
alafu wale wazee si watendaji na hawana uwezo wa kifedha kuiwezesha timu kuwa sawa, pili mpira umebadilika unahitaji zaidi ya zaidi ya tunavyodhaniKwa hiyo nyie watu wa Bi Hindu na Mzee Kilomoni mnaona mkataba wa MO unaharibu timu yenu? Au kwamba faida mnayopata sasa ingekuwa zaidi kama si MO? Kwamba timu yenu inashindwa kufanya vizuri kwa sababu ya MO? Kumbukeni akina Akilimali waliona Manji si kitu akajitoa na mmeona Yanga imebidi muibatize majina sijui omba omba lakini Yanga imepingana kiume. Lakini Pia mliwahi kulia sana na hali ilikuwa mbaya mpaka alipokuja MO. Msikimbilie ngojera za Hindu mtakuja kujuta kwa mpira wetu wa Tanzania ambao mashebiki hawawezi kuendesha timu
acha upumbavu na ujuha we gongowazi..hela ya usajili na mishahara aliyolipa moo kwa wachezaji na makocha hadi sasa ni thamani ya Yale majengo pale kkoo..mpira pesa na biashara skuiz..sisi tunataka ushindi na furaha basi ..
Watu walimuita Manji Mkanjibahi mmeona kilitokea nini alipoondoka. Mliwahi kumwita Mkanjibahi Azim Dewji alipoondka mlioona matokeo yake. Tangu lini Akilimali, Bi Hindu, Sijui Kilomoni wakajua utawala wa timu. Mpira wanaujua kwa kelele na kusikilizwa na mashabiki wasiojua gharama za uendeshaji wa timu, utawala wala usajili una gharama ganiMo mpaka hapo ameisha ipiga Simba bao coverage ya matangazo anayopata Ni kitonga tosha. Hiyo 20bn mbona haweki mezani. Sasa Mali wampe bure. Yeye aweke hela aendeshe biashara ya mpira Mali na jina vibaki vya wanachama. Makanjibahi sio watu wa kuamini hata kidogo.
Watu walimuita Manji Mkanjibahi mmeona kilitokea nini alipoondoka. Mliwahi kumwita Mkanjibahi Azim Dewji alipoondka mlioona matokeo yake. Tangu lini Akilimali, Bi Hindu, Sijui Kilomoni wakajua utawala wa timu. Mpira wanaujua kwa kelele na kusikilizwa na mashabiki wasiojua gharama za uendeshaji wa timu, utawala wala usajili una gharama gani
Unaufahamu na mkataba wa uwekezaji Simba sports Club unasemaje?
Washabiki wangekuwa na nguvu basi mashabiki wa Arsenal wangekuwa walishawatimua viongozi na wamilki wa Arsenal zamani sana. Pesa baba ni kila kitu mashabiki wanabaki kushangilia wakiona timu yao inafanya kitu kizuriMimi na wewe na wengine wengi tunakubaliana kimsingi, kwamba soka limebadilika lakini liendeshwe kisasa. Iwekwe misingi na mifumo mizuri ya win win situation. Angalia ulaya. Chelsea (jina) na miundombinu na haki nyingine nyingine wanachama wanaushawishi navyo. Biashara ya mpira asajiriwe Nani Nani aachwe , mishahara etc Ni ya abbromovich na co. Hapa mo analeta ujanja ujanja? 20 bn hiko wapi? Manji akuwa mmiliki alikuwa mdhamini/mfadhili na kiongozi mwenyekiti aliyechaguliwa na Wana yanga. Ulaya supporters clubs zina nguvu kwelikweli na zinaongozwa na type ya akina kilomoni na akilimali
Hawa wazee wa hizi timu wanajifanya wajuaji tim ikiwa vizur zikipitia kipind kigum umsikii kilomon wala bi hindu wao wanapenda ziwe na hali ngum tu
Hata huko arsenal mtu wawekezaji hawakuowa timu kiujanja ujanja. Anagalia uwekezaji wa kujenga uwanja mpya, kuendeleza uwanja wa zamani etc . Mo anafanya Nini? Anataka apewe bureWashabiki wangekuwa na nguvu basi mashabiki wa Arsenal wangekuwa walishawatimua viongozi na wamilki wa Arsenal zamani sana. Pesa baba ni kila kitu mashabiki wanabaki kushangilia wakiona timu yao inafanya kitu kizuri
Huyu Kilomoni ndiye mwenye Simba SSOhooo??? Bi Hindu naye mwekezaji na mfadhili wa simba au yeye ni nani. Kuna vitu vya kukaa na kusikiliza lakini kwa mpira wa sasa wa kisasa Bi Hindu anajua nini? hata huyu mzee Kilomoni ana tofauti gani na mzee Akilimali ya Yanga. Ni vizee vinavyocheza mpira kwa mdomo bila
Sasa si ndo mkubaliane na mwenye timu yake Mzee Kilomoni?alafu wale wazee si watendaji na hawana uwezo wa kifedha kuiwezesha timu kuwa sawa, pili mpira umebadilika unahitaji zaidi ya zaidi ya tunavyodhani
Hebu ziweke zako tuone!!! Unajua mpira wa sasa sio matamko kama ya spikaWewe umeziona hizo bil 20?
Povu la nini?!..........CEO wa Simba SC Magori alikiri pale Clouds kuwa MO hajatoa hizo fedha bali ana mpango wa kununua Hati fungani za serikali siku za mbeleni. Ndiposa watu makini kama Manara wakashtuka.Hebu ziweke zako tuone!!! Unajua mpira wa sasa sio matamko kama ya spika