Hamisha blog yako kutoka blogspot kwenda wordpress

Hamisha blog yako kutoka blogspot kwenda wordpress

jamiisoft

Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
66
Reaction score
38
Huduma hii inagharimu tzs 55,000/ =
Unapata free hosting mwaka mzima
Tunahamisha post zako zote kutoka blogger kuja WordPress
Unapata free domain pamoja na blog design.

Wahi sasa ofa ni ya mda mfupi

0719658086
 
Tapeli huyu
 

Attachments

  • Jamiisoft 20180112_143944.jpg
    Jamiisoft 20180112_143944.jpg
    75.3 KB · Views: 45
Tapeli huyu
Asee kazi ya kuimport post 55,000/=? Hata huwa sishauri mtu achukue hosting za kibongo kama yuko serious na blogging! Hiyo kazi ya kumigretisha post zako kwenda WordPress host company wengi hufanya bure.
 
Kuweni makini na jamiisoft. Keshatapeli mtu tayari mpaka sasa jamaa hajatengenezewa blog yake na kibaya zaidi kamblock jamaa.
 
Kwa hiyo ulimtumia jamaa pesa?
Ndio jamaa kanipiga
jana nimeleta uzi hapa lakini kuna watu wanajifanya wajuaji
mimi sijaja kuwalaumu jf nimekuja kutoa taarifa kila mtu ajue kwamba huyu ni tapeli na kuna watu wengi wameshapigwa nimepata taarifa lakini wamekuja kufungua uzi hapa? mimi ni wakwanza kutuma pesa kwa ajili ya kuhitaji huduma? Mbona wakizulumiwa hawaleti hapa uzi
kwahiy kuleta uzi ule ili iwe msaada kwa wengine unaonekana ni mshamba
na bado kuna taratibu zingine zinaendelea kuhakikisha anakamatwa mda sio mrefu
 
Back
Top Bottom