Hamisa Mobetto si Faith Evans

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
Faith Evans alikuwa mke wa rapa Notorious BIG ambaye alitambulika kuwa hasimu wa Tupac Shakur.

Hamisa Mobetto alikuwa mpenzi na aliishi kinyumba na Diamond Platnumz ambaye inafahamika ni hasimu wa Alikiba.

Faith katika ndoa yake na BIG amepata mtoto mmoja, C J Wallace.

Hamisa katika mapenzi yake na Diamond, amepata mtoto mmoja.

Faith alikuwa mwanamuziki chini ya lebo ya Bad Boy Entertainment iliyokuwa na uhasimu na Death Row Records.

Hamisa ni mwanamuziki pia, japo hajasainiwa WCB, ameshafanya kazi kama model kwenye wimbo "Maria Salome" wa Diamond ft Rayvanny, WCB, lebo yenye upinzani na kings music.

Decemba 1995, Faith akitambua Tupac ni hasimu wa BIG (mumewe) alikubali mwaliko wa kuimba chorus ya wimbo "wonda why They call you bitch" wa Tupac. Tena kazi ilifanyika studio za Death Row Records ambayo haiivi na lebo yake ya Bad boy.

April 2020, Hamisa ametokea kwenye video ya wimbo "Dodo wa Alikiba. Wimbo umefanywa kings music records yenye upinzani na WCB ya mzazi mwenzake, Diamond.

Baada ya kukamilisha recording session ya " wonda why they call you bitch," Tupac aliachia mkwaju wa ugomvi "Hit Em Up, akimsiliba BIG kuwa yeye (Tupac) alitembea na mkewe, Faith.

Inadaiwa Faith alikwenda Death Row kufanya wimbo na Tupac, kumlipizia BIG aliyekuwa akisaliti sana nje ya ndoa na marapa wa kike, Lil Kim na Charlie Baltimore. Vile vile BIG alimdiss Faith kwenye wimbo " Get money"ft Lil Kim, halafu Charli yupo kideoni.

Hamisa 'aliitwaga' mchawi eeh? Mchafu sio?
Ndio naye analipiza? au yeye na Ali ni kikazi zaidi.

Faith kupitia kitabu chake "keep the faith" kilichotoka mwaka 2008 anakiri kila alichofanya na Tupac hakikuwa sawa.
Faith ameandika kuwa alipomaliza kuingiza sauti, Death Row, aliambiwa afuate malipo yake (dola 25,000) kwa Tupac, chumbani, hotelini akaenda kisha kule chumbani, Tupac alimlazimisha mapenzi.

Unamfuataje chumbani adui wa mumeo?

Zile taarifa za Hamisa kuwa hotelini na Ali zenji, bila shaka ni kikazi tu. By the way, Hamisa sio Faith.

Sema BIG alikuwa player halafu kauzu Faith alimuuliza "nimesikia unatembea na Lil Kim "akajibu " Yeah, nipo naye mwaka na nusu sasa." Faith hoi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko vizuri katika uchambuzi mkuu, unaonekana ww ni old school lakini taarifa za kizazi kipya unazo, congra..

Mkuu nimependa ulivyokuna kichwa kwenye uandishi wako
 
Majizzo na EFM wanaingia wapi?

Kabla diamond, majizo aliishazaa na Hamisa

Kama diamond ni mume, majizo mume wa kwanza

Kabla mobeto hajazaa na majizo wala kujuana na diamond ALI KIBA aliishajuana nae na kufanya nae wimbo wa abdu kiba .hatuna habari nao

Mobetto kwa akina ali kiba ni mwanafamilia, kwa maana ingine
kama WAKIFANYA KAZI PAMOJA TU WANATIANA..basi ashamtia miaka hiyo kabla ya majizo na diamond kumfahamu

Ni kweli sio faith evans, hakuna relation yeyote...corona tu imekupa muda wa kuunga unga stories

Naona maumivu yamekuwa makubwa sana
 
Sawa, Ila upunguze ukali wa maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom