lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,241
- 2,782
Era ya Wema ndio ishapita alishindwa kutumia umaarufu wake kuingiza mkwanja sidhani kama hata nyumba anayo..kwl Hamisa amemfunika ghafula bin vuu sasa hivi impact ya wema siyo kivile kina petit zenyewe washakimbia.....lkn still she can do something aanzishe hata maduka ya vipodozi kwa brand ya jina lake uchi huzeeka ohooo.