Hamisa Mobeto vs Lulu Michael

Kama mnawapima kwa kukaa uchi wote sawa
Kama kwa yupi mwamamke....wote zero
Kama kwa uzuri pia zero...uzuri wa mwanamke ni kujistiri...kuanika body yako huma uzuri wala thamani ni sawa na changudoa..wale wanauza kujipamga hawa wanauza kwa picha
Hilo nalo nenooooo
 
wote wagegedwaji tu muonekano kano hata bata anao lol!
 
Wote hao hamna kitu . .mzuri pesa ....mabeto + Lulu = ni warembo tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…