Hamis Mgeja ni mtu anaejiamini, Tangu 1995 alimtangaza Jk kuwa ndie mtu anaemuunga mkono hakumung'unya maneno, Katika kumuunga mkono Lowassa Pia hajivungi au kuongelea nyuma Ya Pazia. Huyu ndie aliewakutanisha Jk na Lowassa watu walipojaribu sana kuwagombanisha kwa kuchochea uongo