Hamis Kigwangalla: Ukiposti kitu chochote Mtandaoni weka na Hashtag ya 'Nasimama na Mama'

"Utii ukizidi unakuwa UOGA. Uoga huzaa
UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA mwisho wake ni
MAUTI"
Julius K. Nyerere,
Rais wa kwanza wa Tanzania.
 
#Nasimamanamama
20240126_205851.jpg

download (3).jpeg
 
Siropoki, takwimu zake ni za uongo na kujipendekeza, mi ninafika jimboni kwake mara kwa mara, maeneo yote nayajua.

Aeleze vizuri hizo pesa nyingi namna hiyo zilifanya miradi gani mingine na aweke takwimu sahihi na kila mradi ataje kiwango cha pesa zilizotumika, siyo kutuwekea maelezo ya jumla na kusifia hapa.

Hivyo vimiradi vya kusua sua visivyokamilka hawezi kuviwekea takwimu kubwa ya pesa nyingi namna hiyo, haikubaliki.

Kwake bara bara ni mbovu hazipitiki unielewe.

Nilikuwa natokea Nzega, kupitia jimboni kwake, nikapitia njia ya Ngukumo-Tongi- Ndala gari yangu ikakwama huko mpaka leo nilishindwa kwenda kuitoa, maana hata crane haliingii.

Umeme na maji ndiyo sasa hivi wanachimbia vinguzo hata nyaya bado na mabomba ni kwa baadhi ya maeneo tu tena kwa uchache.

Serikali inajigamba kuwa kila Kata walishafikisha umeme na maji, lakini yeye Kata zake bado, ni Ndala na Puge pekee ndipo huduma zimefika, tena kwa sababu njia kuu za miradi hiyo zinapita maeneo hayo.

Nchi nzima walishafikishiwa miradi hiyo siku nyingi lakini yeye amekuwa ni wa mwisho, kazi kusifia kupumbaza watawala wamuone wa maana kuwa anafanya kazi.

Hakuna maendeleo yoyote ya maana aliyoleta kwa wananchi, labda maendele anayoongelea ni ya kwake na familia yake.

Jimbo la Nzega vijijini ni tofauti sana kimaendeleo na jimbo la mwenzake Bashe la Nzega mjini na Kigwangala wananchi hawamtaki.
📌📌📌🔨

View: https://www.instagram.com/reel/C55vFjksYvk/?igsh=NDRmODg2MWl3bmJ0

My Take: Tangu lini Kijijini kukalingana na Mjini?
 
Huu ujinga unaofanywa na waganga njaa wanaotafuta vyeo utaisha lini ktk nchi hii. Mtu akikosa tu kacheo tayari anaanza kumsifia rais kinafiki tu ili akumbukwe aweze kupewa kacheo.

Hii inatokana na ukweli kwamba marais wa ccm hasa kuanzia kwa dikteta John Magufuli kuja kwa huyu wa sasa wamekuwa na tabia ya kutoa vyeo kwa watu wanaowamwagia sifa bila kujali uwezo wao wa kiutendaji.

Sasa hivi huyo Mrundi baada ya kukosa uwaziri na kubaki mbunge tu wa kawaida anahaha kutafuta namna ya kurejesha tena hicho cheo alichopokwa. Bure kabisa.
📌📌📌📌🔨

View: https://www.instagram.com/reel/C559viAo9Ay/?igsh=MWZ0cWVxYzQ5Z2lyeQ==

Na wewe kagange njaa kama wao kama itakulipa.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta Nchi nzima ya Tanzania.

Mbunge Kigwangala amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni huko Jimboni Nzega Vijijini Ametoa mfano wa upatikanaji wa Maji ya Bomba kutoka asilimia 0% Hadi asilimia 70%.

View: https://www.instagram.com/reel/C55yRCKNp0x/?igsh=cG9ydWNnMmxvdmRs


My Take
Naunga mkono hoja na Nasimama na Mama
View attachment 2967361


View: https://www.instagram.com/p/C55jAfbtdeC/?igsh=cXl2OHJoZHZjeGN2

Ni mjinga na tapeli pekee anayeweza kusimama na tapeli mwenzie. Wewe na matapeli wenzako kufeni haraka na mungu awachome moto. Mae zenu
 
Mbunge anasema haijawahi kutokea pongezi kibao, na mwisho wa siku anasema wanaomba waongezewe hela jimboni kwao maana mahitaji ni kama bilioni 2 na wao wamepewa kama milioni mia 4, na chama hiki kipo madarakani toka mwanzo,

Soma vizuri hiuo mistari
 
Back
Top Bottom