Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,838
- 1,932
Mbunge wa Nzega Vijijini Hammis Kigwangala amewataka Watanzania wote wenye mapenzi mema na Nchi Yao Wasimame na Rais Samia kimsemea na kuelezea mafanikio mengi na mazuri ambayo Samia ameyaleta Nchi nzima ya Tanzania.
Mbunge Kigwangala amemwagia sifa Rais Samia Kwa kumwaga mabilioni huko Jimboni Nzega Vijijini Ametoa mfano wa upatikanaji wa Maji ya Bomba kutoka asilimia 0% Hadi asilimia 70%.
View: https://www.instagram.com/reel/C55yRCKNp0x/?igsh=cG9ydWNnMmxvdmRs
My Take
Naunga mkono hoja na Nasimama na Mama
View attachment 2967361
View: https://www.instagram.com/p/C55jAfbtdeC/?igsh=cXl2OHJoZHZjeGN2
Kazi iendelee