​so what??????????
Shida iko wapi hapo?
Sasa inamaana yeye alikuwa hajui kama misafara ya nje JK huwa anakwenda kwa ajili ya shopping? hii mbulula nayo kuachiwa kiti kwa masaa anaona dunia nzima yake!! Mnyamwezi mpuuzi kweli huyu.
[h=5]Hamisi Kigwangalla[/h]YesterdayNaona aliamini ni Rais wa Tanzania kwa muda huo! Mambo mengine wala si ya kuandika kwenye facebook na kujisifu. Hajatuambia aliachiwa kama nani? Hivi na Rais kumuachia huyu jamaa ina maana aliondoka na mawaziri alioenda nao au hakwenda na waziri hata mmoja?
Huyu huyu kigwandala ndiye anaeingiza vitu kupitia kwa kampuni yake bila yakulipa kodi nakwenda kuviuza.
Kweli watazidi kuwa matajiri hawa pamoja na ndugu yao hapo juu.
Kwa maana nyingine Mkuu wetu hakujali kilicho mpeleka Japan zaidi ya kujongo na kukata mitaa. Sasa naanza kuelewa kwa nini ziara zake za nje hazina manufaa zaidi ya kuteketeza fedha za waTanganyika..