Aende tu huko Chadema mtu mwenyewe akili hana
leo hii hana akili tena?hahaha
Labda ameshausoma upepo wa wapinzani huko jimboni mwake ameona hana chake come 2015
Time will tell....
And, Aristotle has it that: "we are what we are repeatedly do."
Hatokuwa wa kwanza, iwapo itatokea. Ref. Wassira, Dr. Slaa et al.
Si hao tu kwani Mtanzaia yeyote ambaye alizaliwa kabla ya Mwaka 1992, elewa alikuwa CCM.
Lakini kutokana na UOZO uliopo tukaamua kujiondoa na kushabikia UKAWA.
Lazima tuwaondoe Viongozi wabovu wa CCM madarakani mwaka huu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kuna taarifa za kuaminika kuwa Dr.Hamis Kigwangala Mbunge wa Nzega ameonesha nia ya kuhamia CHADEMA.
Kwa taarifa hizo zilizotufikia zinasema kwamba Kigwangala anatarajia kuhamia CHADEMA mara baada ya Bunge kuvunjwa June 30, 2015.
leo hii hana akili tena?hahaha
CCM ni kama Sir Alex Ferguson. Mchezaji akijifanya much know ; tupa kule.
Yes! Watupeni na akina Lowasa, Membe na Sitta. Maana wamezidisha makundi.
Vijana wa Lumumba huwa hawana wanalosimamia, hata leo ukiwaambia Kikwete anataka kuhamia Chadema watakuambia hivyo hivyo aende tu kwani alikuwa na faida gani.leo hii hana akili tena?hahaha