J4 napenda nikueleze kuwa mimi sina nafasi ya kulumbana na wewe huena ni mmoja wa kikundi cha ushangiliaji, ningetegemea useme ni lipi la uongo kati ya hayo au utoe ufafanuzi pale ambapo nimeenda off. Jadili hoja usiwe mnazi tu.
Usisumbuke na wakurupukaji songa mbele!