Hamis Kagasheki amethibitisha kuwa cheo bila elimu si lolote

Status
Not open for further replies.
kwani we mleta uzi na unayemtuhumu mnatofauti gani,kama ungekuwa na akili kabla ya kumjadili kagasheki ungeweka sifa zako ili tuone kama unahaki ya kumjadili kagasheki yawezekana we ni bora hata ya isha mashauzi yule dada mwimba tarabu angalau hutunga mashairi yenye vina ulichoondika wewe kama ingekuwa ni mbonga wewe ni mlenda kabisa,
mb*a kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hata wewe naona hauna tofauti na kagasheki..unamshambulia mleta uzi bila kumuambia mapungu kwenye uzi wake.
yeye katuambia jinsi kagasheki alivyo chemka mbele ya rais kwa kutaja kero za kitoto,wala hajatuletea cv ya kagasheki.
 
WAHAYA KWA MAJUNGU MMEBARIKIWA NDO MAANA HOSPITALI YA MKOA ILIPOKEA MADAKTARI 10 WENYE SHAHADA WOTE WAKAHAMA SABABU YA MAJUNGU KILA SIKU HATA KTK SEHEMU MUHIMU.

Mleta uzi ni muumini wa DR. AMANI au HOUSEBOY WAKE.

hujambo GT? Hapa umeonyesha upumbafu wako, hapa jf kuna slogan isemayo: ficha upumbafu wako!
 
kuhusu hoja zake kweli lakini ulipaswa kujadili pia kwamba hawataki kujenga soko kwa sababu hawataki kuhama au kwa vile ujenzi wake una harufu ya kifisadi
Nchi yetu ina vyombo vingi vya uchunguzi, kwa mtu/watu makini baada ya kunusa hiyo harufu ya ufisadi wangeomba ukaguzi maalum (special audit) ili kuweza kubaini ufisadi unaodaiwa kufanyika kwenye mradi wa ujenzi wa soko la kisasa.

Badala yake wanatumia majukwaa ya siasa kumchafua msitahiki meya kumhusisha na ufisadi ambao haujathibitishwa na chombo chochote cha kisheria. Kundi la wanafiki wachache wameamua kuchelewesha maendeleo ya manispaa yetu bila sababu.

Kumwomba mh. Rais kuongeza muda wa starehe ni ushahidi tosha kwamba kundi la wapinga maendeleo limefilisika kisiasa, na lazima lipigwe vita na wapenda maendeleo wote.
 
Ndugu yangu KITAHYA kwanza ninashukuru kwa kutupa taarifa kwa watu ambao hatukupata nafasi ya kuona hayo mambo kiwanjani! Lkn nikirudi nyuma kidogo inawezekana wewe ni mtu wa BUKOBA na nina imani wakati huyu jamaa anagombea ubunge kwa mara ya kwanza ulikuwa mstari wa mbele ktk kumpigia kampeni! Kama si kweli ninaomba ukanushe basi! Hii imekuwa ni tabia ya jamaa wa hapa Bukoba mbali na kuwa kuna watu wasomi lkn unafiki tuuuuuuu Ndugu yangu wahaya kwa siku zijazo mtakuwa watu wa mwisho katika mkoa wa kagera. Angalia wanyammbo wamekuja mpaka bkb wamenunua kila kitu eti nyie nshomile nagoba aibanga. acha unafiki wenu fanya kweli. angalia viongozi wanaofaa siyo kufuata dini pamoja na unafiki

Nilishasema na nitaendelea kusema Dini inapotumika kama mtaji wa kisiasa mwisho wake ni mbaya sana...ndugu yangu pamoja na kwamba kuna ukweli kwenye bandiko lako lkn umetukosea heshima, ukweli ni kuwa siasa za Bk Mjini zinaendeshwa kidini na hii ni kutokana na kuwa wafanyabiashara wengi wa mjini ni wafuasi wa dini ya mbunge Kagasheki,kama walivyomsadia kuupata ubunge kwa kutumia nyumba za ibada bado wanaendelea kusimama naye hata anapokosea.
Lakini hali kama hii haipo kwenye majimbo mengine ya mkoa wa Kagera.
 
Ndugu wa JF hii ni post yangu ya kwanza katika jamvi baada ya kuwa msomaji wa nyuzi za watu kwa muda mrefu. Kilichonihamasisha kujisajili ni utumbo aliouonyesha Waziri wa Maliasili ndugu Hamis Kagasheki alipokuwa anaelezea kero za Bukoba Manispaa kwa Mhe,Rais Kikwete. Nilianza kumdharau tangu alpiofanya mkutano katika viwanja uwanja wamashujaa almaharufu UWANJA WA MAYUNGA na kuanza kuporomosha matusi na vijembe kwa Mhe. Meya wa Manispaa ya Bukoba Dr. Anatory Amani.

Sikutegemea mtu kama yeye aanze kurusha vijembe kwa mambo ambayo angeweza kutaka ufafanuzi wake katika vikao vya baraza la madiwani maana nayeye ni diwani. Chafu kabisa ni pale aliposema kuwa yeye Kagasheki, alitumia madaraka yake kama waziri mdogo wa mambo ya ndani kuwapatia watoto wa Dr. Anatory Amani passport za Tanzania wakati wao hawakuwa watanzania.
Kwa hapo nilitegemea kuwa kesho yake atakuwa amepoteza nafasi yake ya Uwaziri kwa kutumia madaraka vibaya. Sijui JK alisubiri nini kumwajibisha mtu huyu. Anyway, JK ndiye anajua kwanini.

Ninalotaka kuonyesha hapa ni kuwa Elimu yake ndogo haikuweza kumuonyesha kuwa kwa hilo anajiumbua mwenyewe wala si Dr. Amani. Nirudi Kaitaba, alipopewa nafasi ya kuelezea kero za wananchi, alianza kwa kutoa slogans za kishambenga kiasi cha kutia kinyaa kwa mtu kama yeye- alianza, 'ndeteeeee(Maana yake nileteee), Nsindikeee(Nisukumeee), Ngambeee(Nisemeee) huku kikundi alichokiandaa kikawa kinaitikia 'letaaa, sindikaa(sukumaa), gambaa|(semaa) na kushangilia kwingi bila kujali ni nini linalosemwa juu yake.

Hizi ndizo hoja zake

1. Wananchi wanataka wacheze disco hadi asubuhi.

2.Kuna kero ya ujenzi wa soko utaratibu wake haueleweki.

3. Kero ya viwanja mia nane (800), na kuwa kuna mradi wa viwanja 5000 ambvyo yeye binafsi hajaviona.

4. Ahadi ya Meli ya Mhe. Rais (Hii aliitoa kwa kucopy kutoka kwa Mbunge Jasson Rweikiza wa BK V.

Haya ndiyo majibu ya Rais kwake - Hivi na kuona viwanja unamsubiri rais badala ya kwenda ofisi za manispaa ukaulizia mahali vilipo.

- Soko lazima lijengwe, hatuwezi kuzuia maendeleo. Hatuwezi kubaki kwenye analogia wakati watu wanahamia digital. La muhimu hao wanaotumia soko la sasa wapewe mahali pa kufanyia biashara kwa muda. (Huu ndiyo ulikuwa uamuzi wa mhe. Meya na baraza lake lakini kwa kutaka kuungwa nkono wa watu wasiyo na maono Kagasheki alijiunga nao kukataa mpango wa kuwahamishia katika Pahale la CCM( kundi aliloliandaa lililoa maji huku umati wenye uelewa ukiripuka kwa kushangilia).

- Kuhusu disco, alisema hiyo iko kwenye maamuzi yenu, kama mlipitisha kwenye sheria ndogo ndogo zenu basi ni jambo la kuliangalia ninyi wenyewe.

Wana JF, hivi kweli katika mambo muhimu kwa mtu aliyepewa nafasi na rais aseme wanachotaka watu wake na hilo ni muhimu kweli? Ndugu wana JF, Mkoa wa Kagera, ni mkoa ulio na maumivu makubwa kutokana na Ugonjwa wa UKIMWI, hivyo Halmashauri zote zilijiwekea utaratibu wa kupunguza muda wa starehe za usiku ili angalau wawili watatu wanaweza kunusulika, hali ni mbaya.

Hivi wana jf kufunga disco saa 6 usiku kuna ubaya gani kwa mtu mstaarabu anayejali familia yake. Sasa huyu bwana nilimfananisha na yule mtu aliye pewa nafasi ya kuomba maombi matatu akashia kuomba sinia la wali, ombi la pili likampa kichwa cha Kuku, na la tatu likawa la kuomba awe na kichwa cha binadamu maombi yakaishia hapo. Hadithi hii ilikuwa inatuelekeza kutotumia fulsa muhimu kiupumbavu.

Baada ya Ujinga huo, nililazimika kutaka kujua CV yake ikoje hasa kwa upande wa shule Katika hilo niligundua
kuwa alifeli form Six Alikwenda nchi za nje akiwa Houseboy wa Salim Ahmed Salim ndipo alijifunza Kiingereza huko, na watanzania kwa kutojua kiingereza akaonekana kuwa ni wa maana kwa vile anaweza kuongea kiingereza.

KWA VYOVYOTE VILE HUU NDIYO MUHULA WAKE WA MWISHO.

Yaani Unataka kutuambia UFINYU wa ELIMU ya KAGASHEKI UMETULETEA HAYA YOTE??? ELIMU YAKE NI IPI HIYO? Alikuwa Balozi nchi za nje akiiwakilisha TANZANIA; ni ELIMU hiyo hiyo aliyoitumia kwanini kwa BUKOBA IWE FINYU???

Tupe Ufafanuzi zaidi tuweze kuelewa hii HOJA ya ELIMU? Kufeli FORM SIX enzi hizo sio kama FORM six ya YOUTUBE; FACEBOOK na INTERNET... Sasa kama alikuwa HOUSEBOY how comes alifikia kuwa BALOZI? Unasikia wanamwita BALOZI na hii ni wakati wa NYERERE...
 
nngu007 anza kwa kutafuta kujua Hamis Sued Kagasheki amewahi kuwa balozi wa kuwakilisha Tanzania nchi gani? Jibu hili ni la msingi sana na litakufumbua kujua hoja ya elimu.
 
Last edited by a moderator:
Omutwale elimu yake hii hapo chini...

School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Fordham University ,New York U.S.ABA. (Economics)19731975GRADUATE
Fordham University ,New York U.S.AStudies Political Economy19761977CERTIFICATE
St. Bernard's College (Masaka)A-Level Education19711972HIGH SCHOOL
Nyakato Secondary SchoolO-Level Education19671968SECONDARY
Kahororo Secondary SchoolO-Level Education19691970SECONDARY
Bukoba Muslim SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Grewal Indian Public SchoolPrimary Education19641966PRIMARY
 
WAHAYA KWA MAJUNGU MMEBARIKIWA NDO MAANA HOSPITALI YA MKOA ILIPOKEA MADAKTARI 10 WENYE SHAHADA WOTE WAKAHAMA SABABU YA MAJUNGU KILA SIKU HATA KTK SEHEMU MUHIMU.Mleta uzi ni muumini wa DR. AMANI au HOUSEBOY WAKE.
Well said mkuu, majungu haya yaliyo kubuhu ndio yanatafuna mkoa wa Kagera specifically Bukoba mjini na vijijini, Karagwe na Ngara hawana tatizo hili. Nakumbuka siku za nyuma kuna Mkuu wa mkoa aliyestaafa aliwahi kuzungumzia matatizo ya baadhi ya WAHAYA wakupika majungu, yaani watu na akili zao timamu wanakwenda kwa mkuu wa Mkoa kuwaharibia sifa wenzao wanao waona ni tisho kwao kibiashara au kisiasa ndio tulivyo. Mleta mada anapo sema Cheo bila Elimu ana maana gani au anataka kumzungumzia nani? Je anaweza kuwathibitishia wana JF kwamba ana ushahidi kwa kile anacho kisema hasa hasa elimu ya Mh.Kagasheki.
 
Ndugu wa JF hii ni post yangu ya kwanza katika jamvi baada ya kuwa msomaji wa nyuzi za watu kwa muda mrefu. Kilichonihamasisha kujisajili ni utumbo aliouonyesha Waziri wa Maliasili ndugu Hamis Kagasheki alipokuwa anaelezea kero za Bukoba Manispaa kwa Mhe,Rais Kikwete. Nilianza kumdharau tangu alpiofanya mkutano katika viwanja uwanja wamashujaa almaharufu UWANJA WA MAYUNGA na kuanza kuporomosha matusi na vijembe kwa Mhe. Meya wa Manispaa ya Bukoba Dr. Anatory Amani.

Sikutegemea mtu kama yeye aanze kurusha vijembe kwa mambo ambayo angeweza kutaka ufafanuzi wake katika vikao vya baraza la madiwani maana nayeye ni diwani. Chafu kabisa ni pale aliposema kuwa yeye Kagasheki, alitumia madaraka yake kama waziri mdogo wa mambo ya ndani kuwapatia watoto wa Dr. Anatory Amani passport za Tanzania wakati wao hawakuwa watanzania.
Kwa hapo nilitegemea kuwa kesho yake atakuwa amepoteza nafasi yake ya Uwaziri kwa kutumia madaraka vibaya. Sijui JK alisubiri nini kumwajibisha mtu huyu. Anyway, JK ndiye anajua kwanini.

Ninalotaka kuonyesha hapa ni kuwa Elimu yake ndogo haikuweza kumuonyesha kuwa kwa hilo anajiumbua mwenyewe wala si Dr. Amani. Nirudi Kaitaba, alipopewa nafasi ya kuelezea kero za wananchi, alianza kwa kutoa slogans za kishambenga kiasi cha kutia kinyaa kwa mtu kama yeye- alianza, 'ndeteeeee(Maana yake nileteee), Nsindikeee(Nisukumeee), Ngambeee(Nisemeee) huku kikundi alichokiandaa kikawa kinaitikia 'letaaa, sindikaa(sukumaa), gambaa|(semaa) na kushangilia kwingi bila kujali ni nini linalosemwa juu yake.

Hizi ndizo hoja zake

1. Wananchi wanataka wacheze disco hadi asubuhi.

2.Kuna kero ya ujenzi wa soko utaratibu wake haueleweki.

3. Kero ya viwanja mia nane (800), na kuwa kuna mradi wa viwanja 5000 ambvyo yeye binafsi hajaviona.

4. Ahadi ya Meli ya Mhe. Rais (Hii aliitoa kwa kucopy kutoka kwa Mbunge Jasson Rweikiza wa BK V.

Haya ndiyo majibu ya Rais kwake - Hivi na kuona viwanja unamsubiri rais badala ya kwenda ofisi za manispaa ukaulizia mahali vilipo.

- Soko lazima lijengwe, hatuwezi kuzuia maendeleo. Hatuwezi kubaki kwenye analogia wakati watu wanahamia digital. La muhimu hao wanaotumia soko la sasa wapewe mahali pa kufanyia biashara kwa muda. (Huu ndiyo ulikuwa uamuzi wa mhe. Meya na baraza lake lakini kwa kutaka kuungwa nkono wa watu wasiyo na maono Kagasheki alijiunga nao kukataa mpango wa kuwahamishia katika Pahale la CCM( kundi aliloliandaa lililoa maji huku umati wenye uelewa ukiripuka kwa kushangilia).

- Kuhusu disco, alisema hiyo iko kwenye maamuzi yenu, kama mlipitisha kwenye sheria ndogo ndogo zenu basi ni jambo la kuliangalia ninyi wenyewe.

Wana JF, hivi kweli katika mambo muhimu kwa mtu aliyepewa nafasi na rais aseme wanachotaka watu wake na hilo ni muhimu kweli? Ndugu wana JF, Mkoa wa Kagera, ni mkoa ulio na maumivu makubwa kutokana na Ugonjwa wa UKIMWI, hivyo Halmashauri zote zilijiwekea utaratibu wa kupunguza muda wa starehe za usiku ili angalau wawili watatu wanaweza kunusulika, hali ni mbaya.

Hivi wana jf kufunga disco saa 6 usiku kuna ubaya gani kwa mtu mstaarabu anayejali familia yake. Sasa huyu bwana nilimfananisha na yule mtu aliye pewa nafasi ya kuomba maombi matatu akashia kuomba sinia la wali, ombi la pili likampa kichwa cha Kuku, na la tatu likawa la kuomba awe na kichwa cha binadamu maombi yakaishia hapo. Hadithi hii ilikuwa inatuelekeza kutotumia fulsa muhimu kiupumbavu.

Baada ya Ujinga huo, nililazimika kutaka kujua CV yake ikoje hasa kwa upande wa shule Katika hilo niligundua
kuwa alifeli form Six Alikwenda nchi za nje akiwa Houseboy wa Salim Ahmed Salim ndipo alijifunza Kiingereza huko, na watanzania kwa kutojua kiingereza akaonekana kuwa ni wa maana kwa vile anaweza kuongea kiingereza.

KWA VYOVYOTE VILE HUU NDIYO MUHULA WAKE WA MWISHO.

Poleni sana kuongozwa na punguani.
 
Yaani Unataka kutuambia UFINYU wa ELIMU ya KAGASHEKI UMETULETEA HAYA YOTE??? ELIMU YAKE NI IPI HIYO? Alikuwa Balozi nchi za nje akiiwakilisha TANZANIA; ni ELIMU hiyo hiyo aliyoitumia kwanini kwa BUKOBA IWE FINYU???

Tupe Ufafanuzi zaidi tuweze kuelewa hii HOJA ya ELIMU? Kufeli FORM SIX enzi hizo sio kama FORM six ya YOUTUBE; FACEBOOK na INTERNET... Sasa kama alikuwa HOUSEBOY how comes alifikia kuwa BALOZI? Unasikia wanamwita BALOZI na hii ni wakati wa NYERERE...

I have looked at the authors writing in details; however have found nothing substantial to discus. This is shear PERSONAL hatred towards Hon. Kagasheki. The author has personal issues with the Minister

It bothers me a lot. I can’t comprehend the rationality of such kinds of people. This is not a forum to score personal grudges, rather a platform to discuss beneficial matters. There are millions of people with PhD’s with absolute no common sense. So to sum it up, education does not necessarily determine an individual’s reasoning might.
 
Mleta Mada, you have some problems, serious ones, and personal. While criticizing Hon. Kagasheki, you forgot that your level of understanding and detailing your points is close to Zero.

I hope you can understand the fact that, in the current Cabinet, some of the top performers keeping the government running are just like you; humans. they have their weaknessess. However, Honorable Kagasheki, Mama Tibaijuka, Mwakyembe and Magufuli are delivering. He is among the few persons within the rulling party that really delivering to the people of Tanzania

I suggest you go back to the drawinf board and re arrange your accusations, and come back to this forum organizded. You are ashaming us. Majungu hayasaidii mkuu.........

Ndugu wa JF hii ni post yangu ya kwanza katika jamvi baada ya kuwa msomaji wa nyuzi za watu kwa muda mrefu. Kilichonihamasisha kujisajili ni utumbo aliouonyesha Waziri wa Maliasili ndugu Hamis Kagasheki alipokuwa anaelezea kero za Bukoba Manispaa kwa Mhe,Rais Kikwete. Nilianza kumdharau tangu alpiofanya mkutano katika viwanja uwanja wamashujaa almaharufu UWANJA WA MAYUNGA na kuanza kuporomosha matusi na vijembe kwa Mhe. Meya wa Manispaa ya Bukoba Dr. Anatory Amani.

Sikutegemea mtu kama yeye aanze kurusha vijembe kwa mambo ambayo angeweza kutaka ufafanuzi wake katika vikao vya baraza la madiwani maana nayeye ni diwani. Chafu kabisa ni pale aliposema kuwa yeye Kagasheki, alitumia madaraka yake kama waziri mdogo wa mambo ya ndani kuwapatia watoto wa Dr. Anatory Amani passport za Tanzania wakati wao hawakuwa watanzania.
Kwa hapo nilitegemea kuwa kesho yake atakuwa amepoteza nafasi yake ya Uwaziri kwa kutumia madaraka vibaya. Sijui JK alisubiri nini kumwajibisha mtu huyu. Anyway, JK ndiye anajua kwanini.

Ninalotaka kuonyesha hapa ni kuwa Elimu yake ndogo haikuweza kumuonyesha kuwa kwa hilo anajiumbua mwenyewe wala si Dr. Amani. Nirudi Kaitaba, alipopewa nafasi ya kuelezea kero za wananchi, alianza kwa kutoa slogans za kishambenga kiasi cha kutia kinyaa kwa mtu kama yeye- alianza, 'ndeteeeee(Maana yake nileteee), Nsindikeee(Nisukumeee), Ngambeee(Nisemeee) huku kikundi alichokiandaa kikawa kinaitikia 'letaaa, sindikaa(sukumaa), gambaa|(semaa) na kushangilia kwingi bila kujali ni nini linalosemwa juu yake.

Hizi ndizo hoja zake

1. Wananchi wanataka wacheze disco hadi asubuhi.

2.Kuna kero ya ujenzi wa soko utaratibu wake haueleweki.

3. Kero ya viwanja mia nane (800), na kuwa kuna mradi wa viwanja 5000 ambvyo yeye binafsi hajaviona.

4. Ahadi ya Meli ya Mhe. Rais (Hii aliitoa kwa kucopy kutoka kwa Mbunge Jasson Rweikiza wa BK V.

Haya ndiyo majibu ya Rais kwake - Hivi na kuona viwanja unamsubiri rais badala ya kwenda ofisi za manispaa ukaulizia mahali vilipo.

- Soko lazima lijengwe, hatuwezi kuzuia maendeleo. Hatuwezi kubaki kwenye analogia wakati watu wanahamia digital. La muhimu hao wanaotumia soko la sasa wapewe mahali pa kufanyia biashara kwa muda. (Huu ndiyo ulikuwa uamuzi wa mhe. Meya na baraza lake lakini kwa kutaka kuungwa nkono wa watu wasiyo na maono Kagasheki alijiunga nao kukataa mpango wa kuwahamishia katika Pahale la CCM( kundi aliloliandaa lililoa maji huku umati wenye uelewa ukiripuka kwa kushangilia).

- Kuhusu disco, alisema hiyo iko kwenye maamuzi yenu, kama mlipitisha kwenye sheria ndogo ndogo zenu basi ni jambo la kuliangalia ninyi wenyewe.

Wana JF, hivi kweli katika mambo muhimu kwa mtu aliyepewa nafasi na rais aseme wanachotaka watu wake na hilo ni muhimu kweli? Ndugu wana JF, Mkoa wa Kagera, ni mkoa ulio na maumivu makubwa kutokana na Ugonjwa wa UKIMWI, hivyo Halmashauri zote zilijiwekea utaratibu wa kupunguza muda wa starehe za usiku ili angalau wawili watatu wanaweza kunusulika, hali ni mbaya.

Hivi wana jf kufunga disco saa 6 usiku kuna ubaya gani kwa mtu mstaarabu anayejali familia yake. Sasa huyu bwana nilimfananisha na yule mtu aliye pewa nafasi ya kuomba maombi matatu akashia kuomba sinia la wali, ombi la pili likampa kichwa cha Kuku, na la tatu likawa la kuomba awe na kichwa cha binadamu maombi yakaishia hapo. Hadithi hii ilikuwa inatuelekeza kutotumia fulsa muhimu kiupumbavu.

Baada ya Ujinga huo, nililazimika kutaka kujua CV yake ikoje hasa kwa upande wa shule Katika hilo niligundua
kuwa alifeli form Six Alikwenda nchi za nje akiwa Houseboy wa Salim Ahmed Salim ndipo alijifunza Kiingereza huko, na watanzania kwa kutojua kiingereza akaonekana kuwa ni wa maana kwa vile anaweza kuongea kiingereza.

KWA VYOVYOTE VILE HUU NDIYO MUHULA WAKE WA MWISHO.
 
This guy is on another level of Majungu. Haoni kila mtu anamsuta.....? Hon. Balozi anakubaliki na watu kama hawa ni watu wenye fitna zao.

Well said mkuu, majungu haya yaliyo kubuhu ndio yanatafuna mkoa wa Kagera specifically Bukoba mjini na vijijini, Karagwe na Ngara hawana tatizo hili. Nakumbuka siku za nyuma kuna Mkuu wa mkoa aliyestaafa aliwahi kuzungumzia matatizo ya baadhi ya WAHAYA wakupika majungu, yaani watu na akili zao timamu wanakwenda kwa mkuu wa Mkoa kuwaharibia sifa wenzao wanao waona ni tisho kwao kibiashara au kisiasa ndio tulivyo. Mleta mada anapo sema Cheo bila Elimu ana maana gani au anataka kumzungumzia nani? Je anaweza kuwathibitishia wana JF kwamba ana ushahidi kwa kile anacho kisema hasa hasa elimu ya Mh.Kagasheki.
 
Ngambeee(Nisemeee) huku kikundi alichokiandaa kikawa kinaitikia ...... gambaa|na kushangilia kwingi bila kujali ni nini linalosemwa juu yake.

GAMBAAA!... MAGAMBA wanatukuza MAGAMBA!... KAGA - GAMBAAA!
 
Fordham is one of the top institutions in the world. It does admit intellectuals ONLY. How would someone whose Swahili, let alone English is not congruent to talk poor education. I wonder what's the man's level of education or training. I hope he is not a ranking member in the government. Otherwise he has failed to achieve his main objective which was to tarnish balozi

Huyu ndugu yetu, ametupa picha kamili ya baadhi ya wasomi wetu. Tunaomba naye atuwekee kiwango cha elimu yake, kama elimu ndio kioo cha uelewe. We have so many PhD's that are absolutely garbage. This could be one of them

Omutwale elimu yake hii hapo chini...

School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Fordham University ,New York U.S.ABA. (Economics)19731975GRADUATE
Fordham University ,New York U.S.AStudies Political Economy19761977CERTIFICATE
St. Bernard's College (Masaka)A-Level Education19711972HIGH SCHOOL
Nyakato Secondary SchoolO-Level Education19671968SECONDARY
Kahororo Secondary SchoolO-Level Education19691970SECONDARY
Bukoba Muslim SchoolPrimary Education19601963PRIMARY
Grewal Indian Public SchoolPrimary Education19641966PRIMARY
 
I have looked at the authors writing in details; however have found nothing substantial to discus. This is shear PERSONAL hatred towards Hon. Kagasheki. The author has personal issues with the Minister

It bothers me a lot. I can't comprehend the rationality of such kinds of people. This is not a forum to score personal grudges, rather a platform to discuss beneficial matters. There are millions of people with PhD's with absolute no common sense. So to sum it up, education does not necessarily determine an individual's reasoning might.

Kumbe ukiandika kizungu unaonekana bright kuliko mleta mada? Upuuzi m2pu!!!
 
Fordham is one of the top institutions in the world. It does admit intellectuals ONLY. How would someone whose Swahili, let alone English is not congruent to talk poor education. I wonder what's the man's level of education or training. I hope he is not a ranking member in the government. Otherwise he has failed to achieve his main objective which was to tarnish balozi

Nani kakuambia ukimkosoa kagasheki anameguka?
 
kwani we mleta uzi na unayemtuhumu mnatofauti gani,kama ungekuwa na akili kabla ya kumjadili kagasheki ungeweka sifa zako ili tuone kama unahaki ya kumjadili kagasheki yawezekana we ni bora hata ya isha mashauzi yule dada mwimba tarabu angalau hutunga mashairi yenye vina ulichoondika wewe kama ingekuwa ni mbonga wewe ni mlenda kabisa,
We Mburura,.. Sifa zako wewe ziko wapi?!.. Bora kusikiliza mashairi ya hadija kopa kuliko upuuzi wako huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom