Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,577
- 38,169
Suala lawakati namuda tu.
Sent using My COVID-19
Suala lawakati namuda tu.
Hivi Arafat Yuko wapi sikuiziHamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, 'drone' hiyo ya Wazayuni imetungulia na vikosi vya Hamas mashariki mwa jiji la Dir al-Balah, katika Ukanda wa Gaza na hivi sasa ipo mikononi mwa wanamuqawama hao.
Jeshi la utawala haramu wa Israel linadai kuwa ndege yake hiyo isiyo na rubani imedondoka kutokana na hitilafu za kifundi, na eti ni muhali kuvujisha taarifa zozote muhimu kutoka kwenye chombo hicho.
Vikosi vya muqawama vya Palestina mara kwa mara vimekuwa vikitungua 'drone' za utawala pandikizi wa Israel, ambazo hutumiwa na utawala huo wa Kizayuni katika operesheni za mauaji na ujasusi.
Mbali na Palestina, ndege hizo zisizo na rubani za utawala haramu wa Israel zimekuwa zikiruka kinyume cha sheria katika anga za Syria na Lebanon. Utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukitumia drone katika hujuma na mapambano ya kukabiliana na harakati za muqawama wa Kiislamu.
View attachment 1435075View attachment 1435076
========
According to Palestinian media, the drone was "shot down" by Hamas forces east of the city of Dir al-Balah.
The Israeli military claims the unmanned aerial vehicle captured by Hamas is a "Skylark" that has "crashed" during an "operation" over the Gaza Strip.
It further claimed that the UAV crashed due to "technical error", but it ruled out the possibility that potentially sensitive information would be leaked from the drone, Press TV reported.
Along with the drone seizure, a high level of Israeli military vehicle traffic was also reported along the Gaza border.
The Israeli regime regularly uses drones for reconnaissance and assassination operations, involving violation of Palestinian, Syrian and Lebanese airspace.
Hamas has confiscated Israeli drones several times, either after they crashed due to technical problems or in the wake of shooting them down.
The resistance group has warned the Tel Aviv regime against escalating tensions, warning that it would face the consequences.
The Israeli military frequently bombs Gaza, with civilians being the main target of such attacks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile ilikuwa siku 6, safari hii itakuwa dakika 6 tu walume wanamaliza mchezo.Suala lawakati namuda tu.
Sent using My COVID-19
Taifa linapigwa! Naona umeamua kujipa burudani mwenyewe, hii ni sawa na kupiga nyeto[emoji2][emoji2]Poleni maana TAIFA TEULE linapigwa nawanamgambo Halafu Linajisifu Linajeshi IMARA [emoji16][emoji16]
Sent using My COVID-19
Kama wale waliopo pale sio waisrael wa damu (Kama ulivyoandika), je hao waisrael wa damu wapo wapi?Wale sio Waisrseli wa damu kwa maana ya nasaba, bali ni watu walio jiingiza katika Uisraeli karne 11 zilizopita, na chama cha Wazayuni kikaja na lengo la kutaka kuitawala Palestina hii ndio sera yao, hii ilikiwa mwaka 1895 kama sijakosea. Ile ardhi ni ya Wapalestina kiasili na Waisraeli wa damu sio hawa wa makopa.
Taifa teule linapigika na Wanamgambo Aseee [emoji4][emoji3][emoji23][emoji16][emoji52]Kipindi kile ilikuwa siku 6, safari hii itakuwa dakika 6 tu walume wanamaliza mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashia yataifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa maneno tu, yanaogopa kuifuta kwa vitendo yanajua dakika 6 yakuwa chalii [emoji3517][emoji3517]Taifa teule linapigika na Wanamgambo Aseee [emoji4][emoji3][emoji23][emoji16][emoji52]
Sent using My COVID-19
Sijui wako wapi, ila nachojua mimi ni kuwa maana ya Israeli ni kizazi cha nabii Yaqoub na kizazi chao hakipo.Kama wale waliopo pale sio waisrael wa damu (Kama ulivyoandika), je hao waisrael wa damu wapo wapi?
Uko sahihi, ila wapiganaji wakienda kujificha kati ya hao "innocents" unatarajia wasipigwe kwa kigezo hicho?Ukiona hivyo Wa Israeli hawajui kanuni za kivita, kama wanawapiga wanawake na watoto au wazee, unataka habari ziandikwaje ?
Kanuni za vota tangu kuumnwa kwa dunia na vyote vilivyomo, wanawake, watoto na wazee hawatakiwi kuuliwa zaidi ya kuchukuliwa mateka hao ndio huitwa "Innocents". Sasa ukiona Waisraeli wanawaacha Mashabaab(Wahusika wa vita) kuwauwa na kuwauwa watoto,kina mama,na wazee hao tunwaita waoga na wanafanya HILA.
Hakuna anachokijuwa huyo kajaa ushabiki tu. Hamasi ni waoga waweke uwanja wa vita shughuli ianze. Tabia za kike zimewajaa wakianza kunyooshwa wanakimbilia kujichanganya na raia.Uko sahihi, ila wapiganaji wakienda kujificha kati ya hao "innocents" unatarajia wasipigwe kwa kigezo hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
WAZAYUNI wanapigwa nawanamgambo kweli taifa teule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashia yataifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa maneno tu, yanaogopa kuifuta kwa vitendo yanajua dakika 6 yakuwa chalii [emoji3517][emoji3517]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shaka kuwa Hamas wanaweza kuwa wametungua hiyo drone ya Israel, uwezo huo wanao kama walivyoonesha mara kadhaa huko nyuma.Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
View attachment 1435075View attachment 1435076
========
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona ya kifanya hivyo, ukisema raia unatakiwa ujue ni kina nani, hata wanajeshi nao ni raia, sasa bainisha. Nionyeshe wapi wameua raia wasio kuwa na hatia, ukinionyesha nitabadilo msimamo wangu.
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.
Hili nalijua kwa sababu sio Waisraeli kiasilia ndio maana wanatakiwa wapigwe na waondoke pale. Wazayuni ndio wanaleta uzandiki kwa kivuli cha Waisraeli feki ili kuwatoa Wapalestina katika ardhi yao, wasipo ondoka leo pale basi wataondoka siku zijazo na hii ahadi iliyoshaandikwa.
Sawa embu nipe muongozo niende kusoma wapi, au nirejee kitabu gani niweze kujua hili ?
Poa.