Hamas yatungua Drone ya Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza

Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, 'drone' hiyo ya Wazayuni imetungulia na vikosi vya Hamas mashariki mwa jiji la Dir al-Balah, katika Ukanda wa Gaza na hivi sasa ipo mikononi mwa wanamuqawama hao.

Jeshi la utawala haramu wa Israel linadai kuwa ndege yake hiyo isiyo na rubani imedondoka kutokana na hitilafu za kifundi, na eti ni muhali kuvujisha taarifa zozote muhimu kutoka kwenye chombo hicho.

Vikosi vya muqawama vya Palestina mara kwa mara vimekuwa vikitungua 'drone' za utawala pandikizi wa Israel, ambazo hutumiwa na utawala huo wa Kizayuni katika operesheni za mauaji na ujasusi.

Mbali na Palestina, ndege hizo zisizo na rubani za utawala haramu wa Israel zimekuwa zikiruka kinyume cha sheria katika anga za Syria na Lebanon. Utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukitumia drone katika hujuma na mapambano ya kukabiliana na harakati za muqawama wa Kiislamu.

4bsl2f451b4db01i5fb_800C450.jpeg
4bso7883d74dba1jtqj_800C450.jpeg

========
According to Palestinian media, the drone was "shot down" by Hamas forces east of the city of Dir al-Balah.

The Israeli military claims the unmanned aerial vehicle captured by Hamas is a "Skylark" that has "crashed" during an "operation" over the Gaza Strip.

It further claimed that the UAV crashed due to "technical error", but it ruled out the possibility that potentially sensitive information would be leaked from the drone, Press TV reported.

Along with the drone seizure, a high level of Israeli military vehicle traffic was also reported along the Gaza border.

The Israeli regime regularly uses drones for reconnaissance and assassination operations, involving violation of Palestinian, Syrian and Lebanese airspace.

Hamas has confiscated Israeli drones several times, either after they crashed due to technical problems or in the wake of shooting them down.

The resistance group has warned the Tel Aviv regime against escalating tensions, warning that it would face the consequences.

The Israeli military frequently bombs Gaza, with civilians being the main target of such attacks.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza

Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, 'drone' hiyo ya Wazayuni imetungulia na vikosi vya Hamas mashariki mwa jiji la Dir al-Balah, katika Ukanda wa Gaza na hivi sasa ipo mikononi mwa wanamuqawama hao.

Jeshi la utawala haramu wa Israel linadai kuwa ndege yake hiyo isiyo na rubani imedondoka kutokana na hitilafu za kifundi, na eti ni muhali kuvujisha taarifa zozote muhimu kutoka kwenye chombo hicho.

Vikosi vya muqawama vya Palestina mara kwa mara vimekuwa vikitungua 'drone' za utawala pandikizi wa Israel, ambazo hutumiwa na utawala huo wa Kizayuni katika operesheni za mauaji na ujasusi.

Mbali na Palestina, ndege hizo zisizo na rubani za utawala haramu wa Israel zimekuwa zikiruka kinyume cha sheria katika anga za Syria na Lebanon. Utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukitumia drone katika hujuma na mapambano ya kukabiliana na harakati za muqawama wa Kiislamu.

View attachment 1435075View attachment 1435076

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia misamihati ya kuikandamiza Israel utafikiri Israel ilikuibia mke. Mfano utawala dharimu, pandikizi
Wewe mswahili unaumia nn? Na ugomvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kichochozi ngoja nimwambie Mambo ni sasa wala sio kesho akufuate akishirikiana sura mbaya mwenzake Mroto
 
The same shit over and over again.
Uzuri wa Israel wanatuma salamu zao kimya kimya, wakishazituma sasa utasikia "Israel attacks innocent Palestinians".
Ukiona hivyo Wa Israeli hawajui kanuni za kivita, kama wanawapiga wanawake na watoto au wazee, unataka habari ziandikwaje ?

Kanuni za vota tangu kuumnwa kwa dunia na vyote vilivyomo, wanawake, watoto na wazee hawatakiwi kuuliwa zaidi ya kuchukuliwa mateka hao ndio huitwa "Innocents". Sasa ukiona Waisraeli wanawaacha Mashabaab(Wahusika wa vita) kuwauwa na kuwauwa watoto,kina mama,na wazee hao tunwaita waoga na wanafanya HILA.
 
Hayo mashambulio yanayofanywa na hamas huwa hayaui raia? Tatizo Israel hailii liii kama hawa wapalestina.
Unajua these hamas wanachokitaka ni nini? Kuwamaliza wa-Israel. Kuwafuta wa-Israel kwenye uso wa dunia kabisa.
Au haujui? Nenda kasome.
 
Hayo mashambulio yanayofanywa na hamas huwa hayaui raia?
Sijaona ya kifanya hivyo, ukisema raia unatakiwa ujue ni kina nani, hata wanajeshi nao ni raia, sasa bainisha. Nionyeshe wapi wameua raia wasio kuwa na hatia, ukinionyesha nitabadilo msimamo wangu.
Tatizo Israel hailii liii kama hawa wapalestina.
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.
Unajua these hamas wanachokitaka ni nini? Kuwamaliza wa-Israel
Hili nalijua kwa sababu sio Waisraeli kiasilia ndio maana wanatakiwa wapigwe na waondoke pale. Wazayuni ndio wanaleta uzandiki kwa kivuli cha Waisraeli feki ili kuwatoa Wapalestina katika ardhi yao, wasipo ondoka leo pale basi wataondoka siku zijazo na hii ahadi iliyoshaandikwa.
Au haujui? Nenda kasome.
Sawa embu nipe muongozo niende kusoma wapi, au nirejee kitabu gani niweze kujua hili ?
 
Sijaona ya kifanya hivyo, ukisema raia unatakiwa ujue ni kina nani, hata wanajeshi nao ni raia, sasa bainisha. Nionyeshe wapi wameua raia wasio kuwa na hatia, ukinionyesha nitabadilo msimamo wangu.

Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.

Hili nalijua kwa sababu sio Waisraeli kiasilia ndio maana wanatakiwa wapigwe na waondoke pale. Wazayuni ndio wanaleta uzandiki kwa kivuli cha Waisraeli feki ili kuwatoa Wapalestina katika ardhi yao, wasipo ondoka leo pale basi wataondoka siku zijazo na hii ahadi iliyoshaandikwa.

Sawa embu nipe muongozo niende kusoma wapi, au nirejee kitabu gani niweze kujua hili ?
Lol,
Hawa Hamas wame dungua mamia ya unguarded rockets huko Israel. I mean wanazidungua wakiwa Gaza. Hizi rockets zinadondoka kwenye ardhi ya Israel umejaribu kuwaza haya madhara yanatokea kwa nani kama sio civilians?

Unataka ushahidi? November 12 mwaka 2018 hawa hamas walifanya missile attack from Gaza na ika-hit bus wa Israel lililokuwa na watu ndani.
Missile%20attack.jpg

Case zipo nyingi ila siwezi kukuwekea kwa sababu unabishania kitu ambacho hauna data za kutosha. Hauangaliagi taarifa za habari? Uwe unasoma soma huko basi uone. Soma kwenye vyombo vya habari.

Najua unajaribu kusema kwamba Hamas hawana lengo la ku-target civilians ila ukweli ulio wazi ni hamas target yao kuu civilians kwa sababu Hamas is literally a terrorist organization.
 
Hizi rockets zinadondoka kwenye ardhi ya Israel umejaribu kuwaza haya madhara yanatokea kwa nani kama sio civilians?
Hili ni tokeo na sio lengo.
Pili,unaposema ardhi ya Israeli una maanisha nini ?
Najua unajaribu kusema kwamba Hamas hawana lengo la ku-target civilians ila ukweli ulio wazi ni hamas target yao kuu civilians kwa sababu Hamas is literally a terrorist organization.
Uliwahi kuwauliza wakasema target yao ni kuua raia ?
Unataka ushahidi? November 12 mwaka 2018 hawa hamas walifanya missile attack from Gaza na ika-hit bus wa Israel lililokuwa na watu ndani.
Inaonekana hujui maana ya ushahidi, hii ni picha tu na kilichoandikwa hapo hata wewe unaweza kuandika. Swali, ni kipi kilichoufanya wewe hii picha ikawa ni ushahidi kwako ?
 
Unao ushahidi wa kutokulia lia ? Soma mada vizuri utaona wanavyolia mpaka wameamua kupindisha hali halisi na kusema ndege imeanguka kutokana na hitilafu za kiufundi. Kuufunika ukweli huku ni kulia pia.

Kulilia lia ni kukanusha jambo?
Yani unipige halafu nikatae kwa watu haujanipiga ndiyo kulia lia? Nisamehe kukusemesha vitu vizito vilivyokuzidi uwezo.
 
Hili ni tokeo na sio lengo.
Pili,unaposema ardhi ya Israeli una maanisha nini ?

Uliwahi kuwauliza wakasema target yao ni kuua raia ?

Inaonekana hujui maana ya ushahidi, hii ni picha tu na kilichoandikwa hapo hata wewe unaweza kuandika. Swali, ni kipi kilichoufanya wewe hii picha ikawa ni ushahidi kwako ?

Nisamehe kusema huu mjadala umekuzidi Umri. Hivi unajisoma mara mbili mbili unachoandika?
 
Kulilia lia ni kukanusha jambo?
Yani unipige halafu nikatae kwa
Ndio ni miongoni mwa kulia, unaweza kulia lia kwa kunashua jambo na kwa kuthitisha jambo pia.
Yani unipige halafu nikatae kwa watu haujanipiga ndiyo kulia lia?

Ndio kulia lia huko.
Nisamehe kukusemesha vitu vizito vilivyokuzidi uwezo.
Thibitisha hili. Hizi ni kauli za watu wasio jua wanachokijadili, mwisho wa siku kjitweza, mna zile kaulo zenu, "Ooh hata nikikueleza hutaelewa" dalili za kuishiwa hoja.
 
Back
Top Bottom