Zaidi ya mara tatu. Jibu hoja uone mjadala umenizidi au la ?!Nisamehe kusema huu mjadala umekuzidi Umri. Hivi unajisoma mara mbili mbili unachoandika?
Zaidi ya mara tatu. Jibu hoja uone mjadala umenizidi au la ?!Nisamehe kusema huu mjadala umekuzidi Umri. Hivi unajisoma mara mbili mbili unachoandika?
Hili ni tokeo na sio lengo.
Pili,unaposema ardhi ya Israeli una maanisha nini ?
Uliwahi kuwauliza wakasema target yao ni kuua raia ?
Inaonekana hujui maana ya ushahidi, hii ni picha tu na kilichoandikwa hapo hata wewe unaweza kuandika. Swali, ni kipi kilichoufanya wewe hii picha ikawa ni ushahidi kwako ?
Hoja ipi? Hebu nioneshe hoja unayotaka kujibiwa ili tuendelee.Zaidi ya mara tatu. Jibu hoja uone mjadala umenizidi au la ?!
Post #18.Hoja ipi? Hebu nioneshe hoja unayotaka kujibiwa ili tuendelee.
Sijaona hoja ya kujibiwa hapo. Unless kubali haujui kitu kuhusu hii issue utulie kama kama mtu asiyejua nikufundishe.Post #18.
Nakukumbusha tu, kila nachoandika ni hoja.
Hawakunifata wakaniambia bali nimesoma walichokiandika wao wenyewe.Mfano unaniuliza kama waliniambia lengo lao ni kuua raia. Sasa wasiponiambia mimi panabadilisha lengo lao? Vitu vyote unavovijua kuhusu mataifa mbali mbali walikufuata wakakuambia?
Hoja nimeshakuonyesha na wewe kusema kwako hujaona hoja hakumaanishi hakuna hoja, hoja ipo ila huwezi kuijibu.Sijaona hoja ya kujibiwa hapo. Unless kubali haujui kitu kuhusu hii issue utulie kama kama mtu asiyejua nikufundishe.
Kuliko kuuliza maswali ambayo hayana msingi.
Ulinipa ile picha sababu wewe uliona kuwa ndio ushahidi,kisha nikahoji, naona unaruka ruka tu.Halafu unataka ushahidi gani? Kwamba ningekuwepo eneo la tukio mimi mwenyewe nikirekodi au? Kama habari unapinga kwamba mtu anaweza akajiandikia tuuu ni ushahidi gani unataka? Unajua ni kwanini nilikupa ile picha na maneno? Ungekuwa unapenda kujishughulisha ungeweza ku Google mwenyewe.
Wayahudi watapinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamas yatungua 'drone' ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza
Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, 'drone' hiyo ya Wazayuni imetungulia na vikosi vya Hamas mashariki mwa jiji la Dir al-Balah, katika Ukanda wa Gaza na hivi sasa ipo mikononi mwa wanamuqawama hao.
Jeshi la utawala haramu wa Israel linadai kuwa ndege yake hiyo isiyo na rubani imedondoka kutokana na hitilafu za kifundi, na eti ni muhali kuvujisha taarifa zozote muhimu kutoka kwenye chombo hicho.
Vikosi vya muqawama vya Palestina mara kwa mara vimekuwa vikitungua 'drone' za utawala pandikizi wa Israel, ambazo hutumiwa na utawala huo wa Kizayuni katika operesheni za mauaji na ujasusi.
Mbali na Palestina, ndege hizo zisizo na rubani za utawala haramu wa Israel zimekuwa zikiruka kinyume cha sheria katika anga za Syria na Lebanon. Utawala ghasibu wa Israel umekuwa ukitumia drone katika hujuma na mapambano ya kukabiliana na harakati za muqawama wa Kiislamu.
View attachment 1435075View attachment 1435076
========
According to Palestinian media, the drone was "shot down" by Hamas forces east of the city of Dir al-Balah.
The Israeli military claims the unmanned aerial vehicle captured by Hamas is a "Skylark" that has "crashed" during an "operation" over the Gaza Strip.
It further claimed that the UAV crashed due to "technical error", but it ruled out the possibility that potentially sensitive information would be leaked from the drone, Press TV reported.
Along with the drone seizure, a high level of Israeli military vehicle traffic was also reported along the Gaza border.
The Israeli regime regularly uses drones for reconnaissance and assassination operations, involving violation of Palestinian, Syrian and Lebanese airspace.
Hamas has confiscated Israeli drones several times, either after they crashed due to technical problems or in the wake of shooting them down.
The resistance group has warned the Tel Aviv regime against escalating tensions, warning that it would face the consequences.
The Israeli military frequently bombs Gaza, with civilians being the main target of such attacks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulutegemea Drone Ifanywe nini katika taifa lawatuThe same shit over and over again.
Uzuri wa Israel wanatuma salamu zao kimya kimya, wakishazituma sasa utasikia "Israel attacks innocent Palestinians".
ISRAEL kabla yakuletwa pale mwaka 48 walikua wanaishi wapi warudi walipotokaHayo mashambulio yanayofanywa na hamas huwa hayaui raia? Tatizo Israel hailii liii kama hawa wapalestina.
Unajua these hamas wanachokitaka ni nini? Kuwamaliza wa-Israel. Kuwafuta wa-Israel kwenye uso wa dunia kabisa.
Au haujui? Nenda kasome.
Poleni WAYAHUDI wakismayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajisikiaje kuandika maelezo marefu hivi halafu hamna cha maana ulicho andika?Hawakunifata wakaniambia bali nimesoma walichokiandika wao wenyewe.
Sasa wewe kama hujaambiwa umejuaje kama lengo lao ni kuuwa wasio na hatia ? Au umeoteshwa nini au umeambiwa na vyombo vya habari au umeambiwa na maadui au unashughulika na matokeo na kiacha chanzo ? Unajichanganya sana,mfano ulio utoa ulionyesha tokeo lakini wewe umeonyesha ni lengo hili ni tatizo la kutofahamu mambo.
Hoja nimeshakuonyesha na wewe kusema kwako hujaona hoja hakumaanishi hakuna hoja, hoja ipo ila huwezi kuijibu.
Ulinipa ile picha sababu wewe uliona kuwa ndio ushahidi,kisha nikahoji, naona unaruka ruka tu.
Wewe muajemi wa mbagala na @zurri nilishaamua nisibishane na nyie.ISRAEL kabla yakuletwa pale mwaka 48 walikua wanaishi wapi warudi walipotoka
UTAWALA HARAMU Ule Wauwaji Wakubwa
Sent using My COVID-19
Na myahudi akijibu mtasikia yowe tuu.[emoji23][emoji23][emoji23]Ulutegemea Drone Ifanywe nini katika taifa lawatu
Yaani ilitakiwa ipewe kipigo kikali mnooo
Sent using My COVID-19
Nimekuelewa mkuu, kuna lengo na tokeo, kama basi lilipigwa huwezi sema lengo lilikuwa kuua raia kwa maana huwezi jua lengo unless uambiwe na wao, tokeo ni baada ya lengo kufeli au kufaulu kote tunapata matokeo, hapo huyu Dada hajakuelewa.Hawakunifata wakaniambia bali nimesoma walichokiandika wao wenyewe.
Sasa wewe kama hujaambiwa umejuaje kama lengo lao ni kuuwa wasio na hatia ? Au umeoteshwa nini au umeambiwa na vyombo vya habari au umeambiwa na maadui au unashughulika na matokeo na kiacha chanzo ? Unajichanganya sana,mfano ulio utoa ulionyesha tokeo lakini wewe umeonyesha ni lengo hili ni tatizo la kutofahamu mambo.
Hoja nimeshakuonyesha na wewe kusema kwako hujaona hoja hakumaanishi hakuna hoja, hoja ipo ila huwezi kuijibu.
Ulinipa ile picha sababu wewe uliona kuwa ndio ushahidi,kisha nikahoji, naona unaruka ruka tu.
Unakanyaga mkia wa nyoka afu unampa pole nyoka[emoji23][emoji23]Poleni WAYAHUDI wakismayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Nimeandika kulingana na haja, ili uelewe uzuri, kinyume na hapo ilaumu akili yako na elimu yako juu ya hili kwa kushindwa kung'amua viwili hivyo.Hivi unajisikiaje kuandika maelezo marefu hivi halafu hamna cha maana ulicho andika?
Ungeandika hata mistari miwili tuu.
Ngoja nikuulize swali pengine tunaweza kuelewana. Kwanini Hamas wana vita na Israel? Wanachokitaka ni nini?
Kawatoeni[emoji3517][emoji3517]ISRAEL kabla yakuletwa pale mwaka 48 walikua wanaishi wapi warudi walipotoka
UTAWALA HARAMU Ule Wauwaji Wakubwa
Sent using My COVID-19
Kabla ya mwaka 1948 historia (siasa) inasema jamaa walikusanywa toka mataifa mbali mbali hasa ujerumani ambapo Hitler inasemekana alikua anawaua kama kukuWewe muajemi wa mbagala na @zurri nilishaamua nisibishane na nyie.
Poleni maana TAIFA TEULE linapigwa nawanamgambo Halafu Linajisifu Linajeshi IMARA [emoji16][emoji16]