Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
russia hana mshirika,russia anafanya biashara,actually marekani ndo mshirika wa nchi za kiarabu kuliko russia.shida ni kutosoma maelezo vizuri....ndo maana nikaweka etc....hizo ni sample tu na inawezekana hata miaka ikawa nimekosea ndo maana nikakwambia uende google maana huko kuna ukweli wote na source ya habari utachagua mwenyewe usije sema nimekuwekea link hapa.na nikatoa angalizo soma then uje ukiwa neutral....lakini ukishavaa udini utabaki kila siku kubishana kama uko kijiweni na hutapata ukweli.....uzuri kila kitu kiko wazi huna haja yakudanganywa
kuhusu ushirika hebu someni Russia ni mshirika a watu gani......????? napenda fact na si udini
Russia wako karibu na syria kwa sababu kwao syria ni strategic area na wana navy base hapo.
Uhusiano wa russia na irag ni wa mbali na wala irag haijihusishi na gaza,iko busy na mambo yake.
Qatar ni mshirika mkubwa marekani na inaweza kuwa ya nne wa kununua silaha za marekani duniani.
Na huko ndo viongozi wa hamas wameweka hdquater.
Nchi za kiarabu nyingi zimeegemea upande wa america japo wamarekani wanawatumia kuwakata makali ili wasiwe na wazo la kuungana na kuwa na umoja.