Hamas wanaua wanajeshi, Israel wanaua raia

Status
Not open for further replies.
hebu fuatilia historia ya vita kati ya mataifa ya kiarabu na Israel then ndo uje utuambie hao makamanda ni wapi ndugu yangu....vita ya mwaka 1947,1948,1967,1973,2009 etc hebu google usome hizo historia kwanza then uje ukiwa neutral.

mbona vita ya 2006 ya israel na hizbollah hampend kuitaja,hamkuwepo
 
Aibu tupu, unatumia manati kumpiga mwenye Machine Gun!! Ukiwa mnyonge tulia. Endapo Hamas wangeguu wakawekeza ktk ELIMU ya vizazi vyao isingefika huku!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni angalia ulipoanzia safari na usiangalie ulipojikwaa wala ulipoangukia tusilete ushabiki wa dini
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

Vilaza Israel hawana lolote
 
hebu fuatilia historia ya vita kati ya mataifa ya kiarabu na Israel then ndo uje utuambie hao makamanda ni wapi ndugu yangu....vita ya mwaka 1947,1948,1967,1973,2009 etc hebu google usome hizo historia kwanza then uje ukiwa neutral.

Tunadanganywa kuwa Israel ilishinda kana kwamba yeye alipigana peke yake. Ukweli ni kwamba vita ile ilikuwa kati ya Waarabu Wote dhidi ya Israel na Mataifa ya Magharibi( Ulaya na Marekani kwa kutoa support kubwa ya vifaa, pesa pamoja na survaillance)! Na hata sasa, hiyo unayosikia Israel anayo haki ya kujilinda lakini wajitahidi kutoaua raia ni aibu tu, lakin bado support anapewa. Kiuhalisia, Hamas anapigana na Israel in JV With Western counterpart!
 
laiti kama hamas wangekuwa wanavaa official military uniform wanapokuwa ktk harakati zao,nina hakika tungepata uwiano sahihi wa idadi ya wapiganaji wa hamas waliouwawa na jeshi la israel.fikiri mtu anapigwa bomu huku akiwa kavaa kanzu na barakashia,ni ngumu sana kutoutisha yupi ni raia na yupi ni mpiganaji wa hamas.
wanavaa mavazi hukuiona ile utube crips wakati wameingia israel kupitia mtaro?.wako full combart,kwahiyo kusema hawavai uniform si sawa.
 
Five Israeli soldiers killed by
mortar fire Thursday night
Palestinian shells struck a
group of Armored Corps
soldiers as they gathered
Thursday night at the Eshkol
staging post after ending
combat duties in the Gaza
Strip. The first three names
were released Friday: Sgt. Maj.
(res) Daniel Marash, 22, from
Rishon Lezion; Capt. Omri Tal,
22, from Yahud; 1st Sgt. Shay
Kushnir, 20, from Kiryat
Motzkin.
Monday, four Israeli soldiers
were killed in the same place
in similar circumstances. Sixty-
one soldiers have been killed
in Israel’s counter-terror
Defense Edge operation in the
Gaza Strip. There are still 140
wounded soldiers recovering
in hospitals around the
country, 17 in serious
condition
 
#Israeli source tells
NBCNews 2 Israeli
soldiers killed & 1 'taken'
in attack this morning.
Uncertain if IDF soldier
taken is alive or not
 
Last edited by a moderator:
Usiwe mjinga
Roketi inahitaji eneo wazi kulirusha.huwezi kulirudha ndani ya nyumba.
Makombora yana rushwa kwenye pori na jangwa.
Tunnel ndio zina tumika
Wanachimba tunnels thn juu kama mtaro wa maji wanafungua kitu kinarushwa.
Ni ujinga kuamini hizi propaganda za wauaji.
Na hao kwenye picha ni raia wa kawaida tu.
Hamas hajakamatwa hata mmoja ndo maana nyetanyau kanuna anashambulia watoto kama chizi

IDF-leads-Palestinian-prisoners-in-Gaza.jpg
We kenge kweli.....unasikia wameuawa watoto kadhaa na raia kadhaa....waliobaki kwenye hiyo hesabu ni akina nani? Usiwe shujaa wa upumbavu
 
In a real sense, hamasi ndio wanaoua raia wa palestina:-

1. Wameweka military base kwenye makazi ya raia. Israel anaposhambulia hizo bases, na raia wanaathirikia.

2. Israel amewaambia raia waondoke kwenye maeneo ya vita, hamasi anawazuia.

3. Raia wanapokataa kutumiwa kama ngao, wanakula kichapo cha mbwa mwitu.

4. Hamasi hawavai sare wala hawana identity ya wazi. Wanapolipua mizinga, hao hao wanakuwa raia na israel inaposhambulia hao waliojibadili kuwa raia wanakufa lakini essentially ndio walipuaji mizinga.

5. Hamasi wakipigwa wanakimbilia hospitalini na mashuleni kujificha. Hapo ni kuwatoa mhanga wadau wa vituo hivyo.

6. Hamasi anashindwa kumanage makombora yanaangukia pale pale na kwa kuwa kawazuia raia kukaa mbali na majeshi, wanakufa halafu anasingizia Israel.

7. Uchokozi wa hamasi wa kuwateka na kuwaua watoto wa Israel kwa ajili ya kutimiza ibada zao za mashetani ndio chanzo cha mauaji ya wa palestina na ambayo hamasi wanayakumbatia.

HAMASI NDIO WANAOWAMALIZA WAPALESTINA.

IDF, wanaji Identify kwa sababu wana dhamira ya kweli ya kulinda nchi yao na raia wao. Wanawalinda raia na ndiyo maana Hamasi hawafikii.

Kikubwa kuliko yote Israel ana Mungu upande wake wakati hamasi hawana Mungu ila wana mungu.
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

Wapiganaji wa Hamas.

article-1102100-02E64548000005DC-854_634x383.jpg

A Palestinian man mourns the death of a Hamas security member after an Israeli missile strike that killed 205 today

article-1102100-02E668D9000005DC-803_634x346.jpg

Bodies of Hamas policemen lie on the ground of their destroyed police compound following an Israeli air strike in Gaza today

article-1102100-02E618D7000005DC-768_634x413.jpg

Unatuwekea picha za 2008 mjinga kabisa wewe hujui hizo picha zina links ya wapi ume kopi .
Umeitia daily mail ya 2008.na hilo lilikua shambulio la wakati wa amani.hai vijana wamepasi mafunzo ya police na israel wakawashambulia.
Ndio ujue hao wazayuni ni wachokozi na wanyama kiasi gani.
Tunataka kuona kwennye uwanja wa vita 2014 july
 
In a real sense, hamasi ndio wanaoua raia wa palestina:-

1. Wameweka military base kwenye makazi ya raia. Israel anaposhambulia hizo bases, na raia wanaathirikia.

2. Israel amewaambia raia waondoke kwenye maeneo ya vita, hamasi anawazuia.

3. Raia wanapokataa kutumiwa kama ngao, wanakula kichapo cha mbwa mwitu.

4. Hamasi hawavai sare wala hawana identity ya wazi. Wanapolipua mizinga, hao hao wanakuwa raia na israel inaposhambulia hao waliojibadili kuwa raia wanakufa lakini essentially ndio walipuaji mizinga.

5. Hamasi wakipigwa wanakimbilia hospitalini na mashuleni kujificha. Hapo ni kuwatoa mhanga wadau wa vituo hivyo.

6. Hamasi anashindwa kumanage makombora yanaangukia pale pale na kwa kuwa kawazuia raia kukaa mbali na majeshi, wanakufa halafu anasingizia Israel.

7. Uchokozi wa hamasi wa kuwateka na kuwaua watoto wa Israel kwa ajili ya kutimiza ibada zao za mashetani ndio chanzo cha mauaji ya wa palestina na ambayo hamasi wanayakumbatia.

HAMASI NDIO WANAOWAMALIZA WAPALESTINA.

IDF, wanaji Identify kwa sababu wana dhamira ya kweli ya kulinda nchi yao na raia wao. Wanawalinda raia na ndiyo maana Hamasi hawafikii.

Kikubwa kuliko yote Israel ana Mungu upande wake wakati hamasi hawana Mungu ila wana mungu.
ungekua mfuatiliaji mzuri ungegundua kuwa maeneo yanayoshambuliwa ya UN kama mashule na mahospital,wengi wa wafanyakazi wake ni wazungu na ndo wanao update kwenye twitter kila inapotokea mashambulizi na hawasemi kama hospitalini kuna base ya hamas wala silaha labda ukiacha matukio mawili ambapo roket zilikutwa kwenye majengo ambayo yako wazi na walisema.

Hao jamaa hawajawahi kuweka hata picha kuonyesha hayo makambi ya hamasi.
Sema israel wakipoteza askari wanamalizia hasira kwa raia.
Mfano asubuhi leo wamepoteza askari wawili na mmoja ametekwa sasa kwa hasira wanaua watu kama hawana akili nzuri mpaka sasa kuanzia saa tatu mpaka sasa wameua raia kama 70.tena walifanya kama wamesimamisha mashambulizi kwa siku tatu,watu wakajaa mitaani kutafuta ridhiki.mitumbwi ikaingia baharini kuvua,ghafla wakaanza kupigwa makombora ya hatari.
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

Acha propaganda za kijinga, roketi zaidi ya mia saba zilikuwa zinalenga wanajeshi? Mbona hao hamas hawaingii israel kwa vita vya chini badala yake wanajificha mashuleni? Israel ameingia vita vya chini kwa sababu hamas wanajificha mashuleni.
 
hamas base ziko underground na wala sio mashuleni.na mbinu wanayotumia ni urban warfare na ni standard tactics when facing a superior power,sasa ulitaka hamas wawe na kambi peupe ili waisrael wailipue.vita ni mbinu.uoga ni kushambulia na kuua raia wasio na silaha na kuweka visingizio kibao.

Israel kama kweli hawana uoga,waende wakawachukue hao hamas toka humo mahospitalin kuliko kufurumisha makombora tokea mbali.
 
Hamas ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma, naomba muangalie aljazeera sasa hivi kuna breaking news. Israeli wameingia kiwewe hawakutegemea kama wangepata upinzani kama huu. Hivi sasa idf mmoja katiwa mbaroni. Alijitia commandoo aingie kwenye tunnel, sasa bado kuliwa tigo
 
mbona vita ya 2006 ya israel na hizbollah hampend kuitaja,hamkuwepo

shida ni kutosoma maelezo vizuri....ndo maana nikaweka etc....hizo ni sample tu na inawezekana hata miaka ikawa nimekosea ndo maana nikakwambia uende google maana huko kuna ukweli wote na source ya habari utachagua mwenyewe usije sema nimekuwekea link hapa.na nikatoa angalizo soma then uje ukiwa neutral....lakini ukishavaa udini utabaki kila siku kubishana kama uko kijiweni na hutapata ukweli.....uzuri kila kitu kiko wazi huna haja yakudanganywa

kuhusu ushirika hebu someni Russia ni mshirika a watu gani......????? napenda fact na si udini
 
Tunadanganywa kuwa Israel ilishinda kana kwamba yeye alipigana peke yake. Ukweli ni kwamba vita ile ilikuwa kati ya Waarabu Wote dhidi ya Israel na Mataifa ya Magharibi( Ulaya na Marekani kwa kutoa support kubwa ya vifaa, pesa pamoja na survaillance)! Na hata sasa, hiyo unayosikia Israel anayo haki ya kujilinda lakini wajitahidi kutoaua raia ni aibu tu, lakin bado support anapewa. Kiuhalisia, Hamas anapigana na Israel in JV With Western counterpart!

kwa nini udanganywe ndugu yangu...???ukweli ni kwamba Israel siku zote anapata misaada ya kivia kutoka kwa marekani,ufaransa na uingereza na nchi za ulaya.kitu ambacho hakikatazwi kama ambavyo palestina anapata msaada kutka nchi z kiarabu....kumbuka tu nchi za kiarabu zishawahi kuungana mara nyingi tu kupigana na Israel....ikiwamo.syria,iraq,misri,labanon,jordan etc wakipata msaada toka russi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom