Hamas wanaua wanajeshi, Israel wanaua raia

Hamas wanaua wanajeshi, Israel wanaua raia

Status
Not open for further replies.

shortlisted1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
352
Reaction score
128
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
 
Kuua ni kuua tu kwasababu vita haina macho. Mchezo huo wa kuuana acha wacheze, ila mimi sipendi vile wanavyochafua mazingira! Ni kweli kuwa nayapenda mazingira kuliko wao kwasababu mazingira yanatuhifadhi na wao ni wauaji.
 
Hivi huyo mwanajeshi wa Hamas anafananaje??
Hata hivyo hiki kitu sii jambo la kushangilia utadhani mpira wa Simba na Yanga. Watu wanauwana watu wanakufa mtu unafanya ushabiki.
 
Waarabu wote WANa ndevu hawana sare za kijeshi utajuaje huyu ni Hamas mwanajeshi na vile vile wanajichanganya na raia ata kuua hao wanajeshi Wa Israel ni kwakuwa kutambua raia na wapiganaji ndio inakuwa inshu pili utashangaa watanzania wanaandamanA kwa ajili ya kuwatetea waarabu wakati waafrica wenzao wanauana sijasikia wakiandamana na kulalamika nenda drc,Rwanda ,Nigeria eti kisa tu........,,,,,... Tunaandamana ni ubaguzi Wa kutojitambua!
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kwamba wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
watu wote wa Gaza ni Hamas
 
Huko Palestina raia wanatumika kama maficho, ngumu sana kuchambua.
 
hebu fuatilia historia ya vita kati ya mataifa ya kiarabu na Israel then ndo uje utuambie hao makamanda ni wapi ndugu yangu....vita ya mwaka 1947,1948,1967,1973,2009 etc hebu google usome hizo historia kwanza then uje ukiwa neutral.
 
laiti kama hamas wangekuwa wanavaa official military uniform wanapokuwa ktk harakati zao,nina hakika tungepata uwiano sahihi wa idadi ya wapiganaji wa hamas waliouwawa na jeshi la israel.fikiri mtu anapigwa bomu huku akiwa kavaa kanzu na barakashia,ni ngumu sana kutoutisha yupi ni raia na yupi ni mpiganaji wa hamas.
 
IDF ni moja kati ya majeshi imara zaidi duniani kwa vifaa, mafunzo, ujasiri na mapambano katika uwanja wa vita. Huwezi kufananisha na wahuni wafuga madevu wa Hamas kutoka Gaza. Hizo raids za kutumia tunnels kama panya-buku ni za kuvizia and they only target lightly manned/armed posts with less than 10 IDF soldiers. Vile vile Hamas wanarusha makombora ya Katusha na Qassams indiscriminately into Israel.

Uliza watu wa Ashkelon au Sderot na miji na kibbutzim nyingine ndani ya Israel wanavyoteseka kutokana na mamia ya rockets yanayorusha hovyo hovyo ndani ya Israel na Hamas. Kinachowaokoa ni Mungu na ile Iron Dome defense shield. Sioni mantiki kwa mtu mzima kufurahishwa na mauaji yawe ya wapalestina au waisraeli. Wale wote ni wanadamu. Kuona vitoto vya kipalestina vimeuawa au kuumizwa haipendezi lakini pia kuuawa na kuumizwa kwa watoto wa ki-israeli nayo haipendezi. Vita si kitu kizuri. Tuwaombee mahasimu hawa waache mapigano.
 
Waarabu wote WANa ndevu hawana sare za kijeshi utajuaje huyu ni Hamas mwanajeshi na vile vile wanajichanganya na raia ata kuua hao wanajeshi Wa Israel ni kwakuwa kutambua raia na wapiganaji ndio inakuwa inshu pili utashangaa watanzania wanaandamanA kwa ajili ya kuwatetea waarabu wakati waafrica wenzao wanauana sijasikia wakiandamana na kulalamika nenda drc,Rwanda ,Nigeria eti kisa tu........,,,,,... Tunaandamana ni ubaguzi Wa kutojitambua!

Hamas.jpg
Hao ndio makomandoo wa Hamas unaowasifu........hapa wamebaki na chupi tu.....!
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha. Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini, makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

View attachment 174565
Hao ndio makomandoo wa Hamas......wamebaki na chupi tu....! Usisifie upumbavu..........ugomvi uanze ww ukitandikwa unalalamika....! Hayo maroketi ya Hamas yangekuwa na shabaha ni madhara kiasi gani yangesababisha kwa raia? Pili, kitendo cha Hamas kutumia nyumba za kuishi, mashule na misikiti kurusha maroketi walifikiri itakuwa kinga ya retaliation....!
 
===
[h=3]Report: Hamas Used Ceasefire to Execute 25 Gazans Accused of Treachery, Blamed Israel for Deaths[/h] Hamas militants killed at least 25 Gazan civilians suspected of collaborating with Israel, World Net Daily reported, citing sources close to Hamas and the Islamic Jihad groups.

The sources told WND that most of the extra-judicial killings of suspected collaborators took place during a brief "humanitarian" cease-fire last Thursday. Hamas blamed the killings on Israel saying they took place four days earlier, in Shuja'iya, on Gaza's northern border with Israel.

The murdered Gazans were accused of leading Israeli troops to smuggling tunnels and providing intelligence on Hamas' infrastructure inside Gazan cities, according to the sources.

According to WND, the sources also said "the civilian suspects murdered by Hamas were publicly celebrated by Hamas as martyrs killed by the Jewish state
 
View attachment 174565
Hao ndio makomandoo wa Hamas......wamebaki na chupi tu....! Usisifie upumbavu..........ugomvi uanze ww ukitandikwa unalalamika....! Hayo maroketi ya Hamas yangekuwa na shabaha ni madhara kiasi gani yangesababisha kwa raia? Pili, kitendo cha Hamas kutumia nyumba za kuishi, mashule na misikiti kurusha maroketi walifikiri itakuwa kinga ya retaliation....!

Usiwe mjinga
Roketi inahitaji eneo wazi kulirusha.huwezi kulirudha ndani ya nyumba.
Makombora yana rushwa kwenye pori na jangwa.
Tunnel ndio zina tumika
Wanachimba tunnels thn juu kama mtaro wa maji wanafungua kitu kinarushwa.
Ni ujinga kuamini hizi propaganda za wauaji.
Na hao kwenye picha ni raia wa kawaida tu.
Hamas hajakamatwa hata mmoja ndo maana nyetanyau kanuna anashambulia watoto kama chizi
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha. Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini, makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao. Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.
Asante kwa maelezo marefu. Labda utusaidie kutueleza kati ya hao raia zaidi ya 1000 waliouawa na Israel, hakuna hata askari mmoja wa Hamas? Basi askari wa Hamas ni hodari kweli kweli; yaani hawauawi?!
 
wale jamaa wana miili ya vyuma.hawauwawi hovyo na israel.hahaha
 
Hamas wanatumia shelter ya civilians kushambulia na kujificha, kwa hiyo kinachofanyika ni popote pale kombola la Hamas litakapotokea Islael nayo inatandika hapo hapo - Sasa iwe msikitini, Sokoni au hata Nyumbani wa Sheikh inakuwa ni Zahma.

Hii mbinu ya kutumia civilians shelter usipokuwa makini unaweza kushindwa vita.
 
hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili hamas wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa hamas na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

wewe unaumwa uchizi, akili zako zinahitilafu, hv hujui hamas wanajichanganya kwenye makazi ya raia?hv hujui hata maeneo ambayo yametengwa kwa ajiri ya kujihifadhi wanayatumia hamas?
 
Hiyo ndio hali halisi ya kile kinachooendelea pale gaza, kwa habari za kutangazwa wanajeshi 56 wa Israel wameuawa wakati raia zaidi ya 1000 wa palestine nao wamepoteza maisha.

Kwa mtazamo wa kiundani unaona kwamba wanajeshi wa israel wamejificha nyuma ya vifaru vyao na kufyatua mabomu kwenda gaza, wanaogopa kuwafata hamasi kwa vita vya chini kwa hiyo wameamua kufyatua rocket kama mtu aliyechanganyikiwa wakati upande wa pili HAMAS wanawashambulia wanajeshi wa israel kwa vita vya chini.

Makomandoo hawa wa hamasi wamekuwa wakiingia Israel kwa kutumia undergroung tunnelling system na kwenda kushambulia majeshi ya israel hukohuko kwao.
Kama kweli israel ni wababe wa kivita kwanini wasipambane na wanajeshi wenzao wa HAMAS na kuacha kuvurumisha mabomu kwa raia wasio na hatia yoyote.

Zile rocket zinazoelekezwa Israel halafu hazifiki zina target kuua nani? Sema hivi Hamas wameshindwa kuua raia wa Israel maana rocket zao zinazuiwa na Iron Dome system ya Israel. Hii vita inaongelewa kama mwenye makosa ni Israel tu...Hamas walipowateka wale watoto watatu walitegemea nini? Vita sio kitu cha kushangilia hata siku moja
 
Hamas wanatumia shelter ya civilians kushambulia na kujificha, kwa hiyo kinachofanyika ni popote pale kombola la Hamas litakapotokea Islael nayo inatandika hapo hapo - Sasa iwe msikitini, Sokoni au hata Nyumbani wa Sheikh inakuwa ni Zahma.

Hii mbinu ya kutumia civilians shelter usipokuwa makini unaweza kushindwa vita.
Hapo kwenye 'shelter' edit haraka uweke 'shield' kabla ya wenye lugha hawajafika kukushambulia na kuvuruga maudhui, otherwise inabidi ujitetee kweli kuwa ulidhamiria kuandika 'shelter' na si vinginevyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom