Hamas wanaishi kama digidigi

Hamas wanaishi kama digidigi

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,379
Wanamgambo wa Kundi la kigaidi la Palestina HAMAS wanaishi kama digidigi kwa hofu na kujificha.

Hawaaminiani na hawaamini yeyote. Hii ni baada ya zaidi ya makamanda wao na wanamgambo zaidi ya 150 kuuliwa na jeshi la Israel.

Shin Bet imepandikiza mamluki Gaza hadi Hamas na ndio wanaelekeza nakusaliri wapalestina wenzao walipo.

Makamanda wawili wenye vyeo vya juu Hamas Mohammed Deif Yasin Anwar walikoswakoswa kuuliwa na makombora baada ya kuhama walipo.

Hawakai sehemu moja zaidi ya masaa mengi wanahamahama kila mara wanawahofia wapalestina wenzao kuliko hata jeshi la Israel.

Wamebaki kuishi kama digidigi ambapo wenyewe walianza uchokozi.
 
Hawa ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi.

Taifa la Palestine ambalo lilikuwepo kwa miaka maelfu leo limegawanywa kwa wakoloni wa kizunguu wajiitao Wayahudi. Ajabu.!
Wapalestin wanakufa lakini bila kufa hakuna ukombozi.

Wakati wa mapambano ya ukombozi wa Afrika kule Msumbiji, Angola walikufa watu, damu ikachuruzika kila mahali, lakini Leo wako huru.
Piganeni.

Piganeni Wapalestina.
 
Hawa Ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi...
Punguzeni kula mirungi hali sio yenyewe mnawasumbua wasio na hatia na mnajificha kwa wananchi wasio na hatia
 
Farijianeni kwa hekaya hizo!
Leo Ijumaa mda huu
Screenshot_20210521_130422.jpg
 
... wapuuzi tu hao; kwani wameanza leo kuswali hapo? Walikuwa na sababu gani ya kurusha mabomu? Unaanzisha ugomvi ambao una uhakika hutashinda zaidi ya maafa kwa watu wako akili matope?
Nani karusha mabomu
 
Ila tripu hii hammas wamekula kichapo nusuru wafutwe kabisa washukuru Israel imekubali kusitisha kiponda gaza

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app


Acheni kuongea ushabiki.

Miaka na miaka hawakuweza kuifuta, na silaha nzito walizonazo, na msaada wa amerika lakini wameshindwa, je! wataweza sasa! Mwenyezi Mungu anawalinda.
 
Wanaosapot israel wote makafiri tu hawawezi kuifuta palestine hata aje baba yao USA
 
Back
Top Bottom