Hamas walitegemea wakijificha hospitalini, shuleni na maeneo ya raia na kuvaa nguo za raia kipindi cha mapigano watapata huruma ya dunia na israel itaacha kushambulia wakajikuta israel haijali ni kichapo popote walipo na raia woteWakati HAMAS wanaivamia Israel October 7 na kuua kikatili Waisrael zaidi ya 1200 na wengine kuwachukua mateka, walijua wazi kuwa Israel wangelipa kisasi kikatili pia,na walijua kabisa kuwa maelfu ya raia wasio na hatia wakiwemo watoto wangeuawa.
HAMAS waliamua kuuza Damu za ndugu zao kwa Bei bure kabisa.
Kwa jinsi walivyokuwa wamejipanga , HAMAS waliamini kuwa wangeishinda Israel na kuumiliki mji wa Jerusalem pamoja na msikiti wa Alqsa.
Mbinu waliyoiamini HAMAS kuwa wataitumia na kushinda vita ni kupigana vita bila kuvaa sare za jeshi na kutumia Hospital na shule kujificha pamoja na makazi ya watu.
Israel ilijua mbinu za HAMAS,na ndo sababu raia wengi wasio na hatia wanakufa kwa sababu Israel inapiga mabomu popote walipo HAMAS baada ya intelligence yake kubaini.
Ni kazi ngumu sana kuwabaini HAMAS kwa sababu hawavai sare za jeshi na wanajichanganya na raia.
Israel isingepigana kikatili ingeshindwa vibaya mno hii Vita.
Kwa hiyo mauaji ya Gaza yametengenezwa na HAMAS wenyewe kwa sababu Israel inajilinda.
Ndoto za HAMAS ni kuwafuta wayahudi,kwa hiyo wasipokuwa makini watafutwa kweli.
There's no Genocide in Gaza, Israel defends itself.
We kilaza una uhakika yesu alisurubishwa na wayahudi..???Yaani walokole kwa kuipenda Israel wanaamini ukiibaliki na ww utabalikiwa yaani aliewadanganya kaweza kweli wayahudi wamemuua hata huyo mungu wenu walimpga mpk wamemsulubisha na chupi hao ilibidi ndio wawe maadui wenu kwa waliyoyafanya kwa yesu lakini ndio mnawakumbati huko Israel wakristo wenzenu hawana hata uhuru wa kuabudu nyinyi huku mnawaabudu
Acha bhange ndugu, inaharibu ubongoMimi kitu ambacho najiuliza kuhusu jeshi la israel ni kuwa. Jeshi la tanzania lilitumia chini ya wiki kuwachambua wanyarwanda katika nchi ya tanzania mwaka 2012 baada ya rais kusema. Hebu angalia ukubwa wa tz na udogo wa gaza kisha angalia. Hivi upelelezi wa jeshi la israel lilishindwa kuwatambua hamas kwa muda wote ambao wameishi nao hata kabla ya shambulio la october 7. Hivi tukipeleka tiss pale gaza miezi 6 haiwezi ikaja na orodha ya wanamgambo wa hamas na sura zao kiasi kwamba muda wa kuwauwa tukatumia tu hata bastola? Maana ni kumfata mumoja baada ya mwingine
Hamas ilijiandaa KUFA, na wamekufa kweli!! Ila siku ukitokea uthibitisho kwamba kule ahera hakuna cha bikra wala nini, hii dini itafutika dunianiWakati HAMAS wanaivamia Israel October 7 na kuua kikatili Waisrael zaidi ya 1200 na wengine kuwachukua mateka, walijua wazi kuwa Israel wangelipa kisasi kikatili pia,na walijua kabisa kuwa maelfu ya raia wasio na hatia wakiwemo watoto wangeuawa.