Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

Mkuu umeisoma thread vizuri?

Umeona mwandishi amemalizia na nini?

Kwenye quote nimeweka rangi nyekundu maneno yanayo mhusu Zitto.
Sasa hujaona kama mtoa mada ni ZUZU
Ztt anaingiaje hapo!?
Najua huyo anatafuta kick ya kuonekana mjuaji Humu JF
kwa kumtaja Ztt
 
Jamani jina msaliti ni baya sana kuitwa maishani....hua halifutiki
 
Zzk hawezi kufukuzwa ACT kwani ni chama cha kukaya kabisa. Idadi kubwa ya wanachama wake wako Mwandiga na wao wanajua kuwa hakuna msomi mahiri nchi hii na mwenye upeo kama zzk.
Bado tuu wamuadress kama Mtukufu Kiongozi mkuu
 
Hamad Rashid ni mamluki.Amepoteza mwelekeo wa kisiasa.
Angeweza kuwa mgombea urais wa CUF iwapo angekuwa mvumilivu.
 
Inastaabisha kwa mwanasiasa kama Miraj kumjua leo kuwa Hamad Rashid ni Msaliti htari wa kisiasa? Pamoja na kuwa uchaguzi uliopita yeye na wagombeaji wenzake wa Urais kutoka vyama visivvyokuwa na wajumbe wa wakilishi, kura zao kwa ujumla wao hazikuzidi kura 1,500. Lakini bado wanaimba nyimbo ya CCM ya kurudia uchaguzi. Hamad Rashid ni CCM tokea alipokuwa CCM, CUF na sasa ADC.Msimamo wake na matendo yake tuliyaona hasa kwenye bunge la katiba.
 
Sikia mkuu , ni hivi , huyu hamad ameleta mkosi hadi kwa watoto wa wajukuu zake , wote hao watakuja kutimuliwa tu , kama siyo shule basi hata kwenye vyama , kwa mujibu wa vitabu vya Mungu laana ya usaliti ni mbaya sana .
 
Hivi Hamad si ndio aliyeanzisha hiki chama cha ADC...??
Mjomba usicheze na kitu kinachoitwa laana ya usaliti , kisikie hivyo hivyo , umemuona mrema au cheyo au labda shibuda ? Hawa watu wanahitaji maombi makali sana .
 
Huyo Hamad Rashid arudi kwenye biashara yake ya kuuza skrepa indiaaa
 
Laana ya usaliti itawatafuna wasaliti wote milele huyo ni msaliti awezi acha asili Yake
 
Fisi ni Fisi tu....haachi asili yake.

Bora wamemgundua mapema....wamfutilie mbali
ajiunge rasmi kwa mabwana zake fisiem.
 
Mwenyekiti ADC Bwn.Miraji ameviambia vyombo vya habari kuwa Hamad Rashid ni lazima afukuzwe.

Hamad aliyekuwa mgombea wa ADC ametuhumiwa kushirikiana na CCM kuhujumu wazanzibar,Hamad ametajwa kuunga mkono uchaguzi kurudiwa!Pia anatuhumiwa kwa ubadhilifu wa pesa na kutaka madaraka kinyume na utaratibu.Bado Zito Kabwe
Uzuri wa zitto yy pale ndio ayatollah hakuna wa kumwaambia kitu
 
Wasaliti Zanzibar bado wapo na wote majimbo yao ya klisiasa yako Ikulu
 
Dhambi ya usaliti ukiitenda haiwezi kukuacha hivi hivi. Ni lazima itakufuatilia tuu mpaka ikuadhibu.
CC-mm11
Cc-mwigamba
Cc-Mkumbo
Cc-Hamad Rashid
Cc-Lipumba
Cc-Slaa
 
Mwenyekiti ADC Bwn.Miraji ameviambia vyombo vya habari kuwa Hamad Rashid ni lazima afukuzwe.

Hamad aliyekuwa mgombea wa ADC ametuhumiwa kushirikiana na CCM kuhujumu wazanzibar,Hamad ametajwa kuunga mkono uchaguzi kurudiwa!Pia anatuhumiwa kwa ubadhilifu wa pesa na kutaka madaraka kinyume na utaratibu.Bado Zito Kabwe
Majipu ya vyama ya meanza kutumbuliwa bado mbowe
 
Back
Top Bottom