Hamad rRashid aiteka Wawi

Ukiwa Mnafiki Unajani Uzeeni UtakuwaMchawi...Nape
 
Ndege 3 za nini?? zinabeba abiria wangapi??
Amelipia mabilioni ya pesa kufanya nini??? Yeye ana uwezo wa kuwa na Mabilioni???
Nadhani uchakachuzi wa habari unatizama pande nyingi kuwateka watanzania walio wajinga kama wewe
 
Bwana Masifa unatuandalia mazingira mkutano wa Rashid ukifanikiwa ionekane kwamba mafanikio yalitokana na hao anaodai kusombwa toka bara. Hata NCCR walijaribu kucheza mchezo kama huo kwa Kafulila ingawa hawakufanikiwa.
 
Duh! Live coverage ya ZanjFm inaweza kucost mabilioni kwa muda gani? Mwaka mzima au? Punguza chumvi hiyo, Kama una uhakika na jambo ukae kimya tu.
 

Mkuu unasema anajimaliza wakati unaonyesha kuwa watu wanasonga mbele!!kumbuka kuwa hata kutongoza ni lazima kwanza upate nafasi ya kuongea na huyo umtongozaye,hivyo hao wanaoenda naamini kuwa asilimia kubwa watabadilika na kumuunga mkono,kwenda kwao inaonyesha hawajaridhika na majibu ya upande mwingine,pamoja na hayo hii stahili ya kusomba watu si ni sera ya ccm!!!hapa kwa hamad inakuwaje?au wamemteka (ccm) na kumpa mbinu zao pia?
 
hii ni bahari ya kutunga na wala haihitaji elimu hata ya darasa la kwanza kuielewa.


ukweli utajulika si mda mrefu
 

Nadhani Kiswahili kinakupa shida! Nalo ni tatizo, nimeorodhesha jamii ya watu waliohudhuria katika mkutano au hukuona! Wenye akili timamu wote wapo majumbani mwao.
 
Magazeti ya Tanganyika wameshachoka naye na habari haina soko tena ha ha ha haya bahamad rashid karibu nyumbani twakusubiri uje useme hayo manenoyoooo bweleoooo
 
Mabilioni unayajua? Au matangazo ya huo mkutano ni ya miaka 30? Mbona kama ni chumvi umeikoleza sana!
 

Mkutano atafanyia wapi?

Je amepata kibali?

Tunasubiri taarifa.

 
Najua huwa ni mnafiki ndo maana bado anahaha kujikomba CUF, aanze upya haina shida
 
binafsi mm nmepewa sh. elfu 56, niweke mafuta ktk gari yngu niwapeleke vijana ktk mkutano kutka hapa machoma4, licha ya jana kulipwa posho ya kikao sh.45000,nipo hapa mkutanoni,ninachokiona mm hapa ni kuwa ba-hamad almaarufu HR, amekwisha na kwa sasa anaendelea kutapatapa.Kinachonishangaza mm, nabaki kujiuliza hivi hz hela zilizotumika ktk maandalizi ya mkutano huu zimetoka mfukoni kwa HR, au zimetoka wapi? Na kama zimetoka kwa HR basi hyu jamaa ni bilionia.Kwa habar zaid sikiliza redio ya Zenj fm
 
Hamad Rashid ametumia njia ya kuwatumia 'Masheikh' katika mkutano wake! Naona kila anayepanda jukwaani anatoa mawaidha badala ya kutoa hoja!
 
Hakuna tofauti baina ya Mkutano wa kisiasa na Mawaidha ya dini ya kiislam!
 

usiulize hela kazipata wapi wewe kula tambaa zako. Mbona hela zipo dunia hii hii ila tatizo tu wengi hatukutani nazo.
 
tatizo mtoa habari anaonekana ni ant HR kitu kinachoifanya habari huu kuwa UMBEA
 
Mabilioni kulipia Redio!Inawezekana hiyo redio inasikika hadi mbinguni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…