Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Wanajamvi,aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa wilaya ya ilemela wa CUF Hapa Mwanza,ambaye yuko kambi moja na HR na ambae mwishoni alhamisi ya wiki iliyopita amaetangaza kujiondoa CUF na wanachama zaidi ya 1222,amenidokeza muda sio mrefu kuwa wako pemba na wamepata mapokezi makubwa na kuwa katika mkutano wao na wananchi wa jimbo la wawi wanakusudia kutangaza rasmi chama chao kipya cha ADP ( hajaniambia kirefu chake,nikipata mawasiliano nae nitawafahamisheni)