Hamad Rashid ni mtaji maalum


Sisi ni binadamu,viumbe wenye akili na nadhari tofauti na wanyama.Tuna uwezo wa kujua vitu vilivyoko anga za mbali tusikoweza kufika kwa kuangalia spectrum tu ya mwangaza unaotufikia ardhini.Hivyo Tendwa na Werema bila kusema wao wenyewe wanatetea udini kiasi kwamba wanajichanganya na ukweli wa siasa zilivyo Tanzania.Itakuwa wameona maslahi maalum kwa udini wao kupitia kuvurugika CUF.Haiwezekani mambo haya ya kufukuzana na ugomvi katika vyama hata CCM yao yapo kila siku lakini wameonesha hamu zaidi kumtetea Hamad Rashid.
 

Pasi na shaka yoyote Hamad Rashid aliandaliwa na Bara kuja kuimaliza Zanzibar na ndio maana anatetewa saaaaaana na watu wa huko.

Hongera sana CUF kuliona hilo na kumfukuza mapema kabla hajawachanganya na kuleta mpasuko mkubwa miongoni mwenu.

Mwacheni tu akeshe na kushinda ukumbi wa habari maelezo Dar es salaam na sio jimboni kwake Wawi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…