WOWOWO, unakumbuka siku chache kulikuwa na mjadala wa 'promotion? Angalia kwenye website ya Vodacom kama utaona 'Corporate" information za kampuni na hasa board of Directors. Lakini Safaricom - Kenya kila kitu kipo wazi!Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.
Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!
I have no comment, any one with exclusive details on this.
Niko kwenye Ofisi moja ya Serikali hapa Posta kuna jamaa anatoa stori kuwa Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid na Mfanyabiashara mwenye kashfa lukuki Yusuph Manji wako mbioni kuanzisha kampuni ya Simu za mkononi ya Talk-tel. Jamaa anaeleza kuwa hata kwenye Kampuni ya Zantel Bw. Manji ana shares nyingi kuliko mtu yeyote.
Jamaa huyo ametoa taarifa nyingine iliyonishtua kwamba, Spika wa Bunge Anne Makinda ni makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania!
I have no comment, any one with exclusive details on this.
hahahaaaaaa............Wew unayeshangaa haya ndo mimi nakushangaa.