hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
- Thread starter
- #21
Mbona usemi Dhambi ya UDINI inavyowatafuna huko Tanganyika.
Au ndio funika kombe mwanaharamu apite..
Nakupa pole.
Udini upi huo "Tanganyika?"
Unanisikitisha sana na point less zako...naona nikukumbushe tu kwamba.....kioo kikichafuka hufutwa lakini kikivunjika huondolewa.