Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
Maswali yangu ni haya;
Nawasilisha
- Kwa nini kama CUF imepasuka anaing'ang'ania hadi mahakamani?
- Ikumbukwe kuwa Mtatiro anasema hata kama mahakama itamrudisha maamuzi yao POLITICALLY yako palepale, je HR anaweza kufanya kazi bila ushirikiano na wenzakle endapo atarudishwa?
- Kwa nini kama yeye ni jasiri na ana support ya watu kama anavyodai asiachane na hiyo kesi akaendelea na taratibu nyingine za kufungua chama chake na kuleta tumaini jipya analosema wananchi wanahitaji?
Anaweweseka tu.
Kumbuka CUF siku zote wakivunja basi hawajengi tena pale.awaulize akina Mapalala au Bi Naila jidawi watamjuza hilo.
Kwa nini kama CUF imepasuka anaing'ang'ania hadi mahakamani?
Ikumbukwe kuwa Mtatiro anasema hata kama mahakama itamrudisha maamuzi yao POLITICALLY yako palepale, je HR anaweza kufanya kazi bila ushirikiano na wenzakle endapo atarudishwa?
Kwa nini kama yeye ni jasiri na ana support ya watu kama anavyodai asiachane na hiyo kesi akaendelea na taratibu nyingine za kufungua chama chake na kuleta tumaini jipya analosema wananchi wanahitaji?
Nawasilisha
NJAA KALI HUYO HANA LOLOTE KAMA ANA UBAVU AANZISHE CHAMA TUONe
Huyo ni mnafiki, ameenda mahakamani kwa ajili ya kutetea posho za ubunge. Wakati huo huo amesema mwezi machi anaanzisha chama kipya. Anajidaganya chama chake kitaishia Tanganyika; Unguja na Pemba hatakiwi
Sawa ia issue ni kubaki bungeni kwanza!