Kifupi Wewe ndio utakua hujitambui kabisaaaaaa!! Vipi hukuona mkutano wake JIMBONI WAWI alipoenda baada ya SULTANI na kina Juha kumpiga madongo sana kwamba hawezi kwenda? Vp runinga huna yani hata kwa jirani hutizami?anatapa tapa huyu...kwisha habari yake...kama angetaka kupata walau wanachama 10 kule kwao tu Wawi asingelihamsha familia yake yote na kuhamia Tanganyika...hajitambuwi Hamadi Rashid ...mpeni pole!
Kujiunga na Magamba siku hizi lazima uhakikishe umeaga kwenu na Wakupe Anti-dot(Dawa ya kuzuia sumu) unywe. Vinginevyo lazima wakupeleke kuzimu na haswa ukionyesha unampinga Mzee wa Harambee.Achukue kadi ya magamba tu, na sidhani kama aliwahi kuirudisha.
SIKU hr akipokelewa cdm na slaa narudisha kadi ya cdm naenda kuchukua ya cufNadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!
Angefanya la maana sana kama angeenda CHADEMA. Angeipa nguvu sana CHADEMA visiwani. Na huenda wangempa uongozi ili aweze kugombea uraisi wa Zanzibar mwaka 2015. Kila la Kheri mpiganaji Hamad Rashid.
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz)Mkuu nadhani Hamad hang'ang'anii CUF anang'ang'ania UBUNGE! Akitoswa tu na Ubunge hana. Anavuta muda tu huko mahakamani.
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz) ataanzisha chama kipya.
Kuna Mzungu aliniambia, Ukifikisha miaka 40 Ukaanzisha biashara, Lazima Itafilisika - JK.
Usipende kudhania mambo, MHE. HAMAD r. Moh'd Ni mtu wa principal, hawezi kuyumbishwa na akili nyepesi Kama hizi za kwako na zakina Jusa na Mtatiro, Huo Ubunge unaozungumzia hapa sio sababu ya yeye kung'ang'ana na cuf ilhali kwa kupitia yeye chama lishajifia. Nijuavyo Ni kwamba kuna kesi ya msingi mahakama kuu inayomzuia kufanya shughuli za kisiasa especially zinazohusu suala zima la kesi husika na AMA kujihusisha kwny uundaji wa chama cha kisiasa hivyo hawezi kuvunja amri ya mahakamA Kama wale kina Juha ooh sore jus...Ana maamuzi thabiti na alikwishasema yeye sio Malaya wa kisiasa na endapo atashindwa kesi na kuvuliwa uanachama (jambo ambalo haliwezi kutokea kutoka a na maamuzi ya kisultani na ujuha uliopitiliza wa viongozi husika wa chama-ya kumtimua of coz)
Haki itapatikana hata kwa mtutu dogo!Na huo uhamad rashid unaonislimisha nao umetokea wapi?! Nijuavyo mimi mheshimiwa sana Yule anasimama kwenye haki, lazima CUF waumbuke kwanza kwa ulimbukeni wao(JELA) wa kutojua Sheria Kama si kupuuza kwani katika kikao kile cha kutimuana alikuwepo hadi Waziri wa Sheria wa Zanzibar (MHE. Abubakar-cuf) kichekesho still wakashindwa kuheshimu maamuzi ya mahakama sasa Sijui huo Uwaziri kapewa vp.Hivi wewe HR umechanganyikiwa kiasi hicho? Ni haya maswala ya siasa tu au kuna mtu kakuroga? kesi umefungua wewe halafu unasema kuna kesi mahakamani ndio inakuzuia kutoka CUF? Wewe ni chizi? kwanini usinede futa kesi, kubali kufukuzwa, samehe ubunge, JENGA CHAMA CHAKO! hiyo ni ngumu?
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.
vinasajiliwa brela!
siku hizi vyama vinasajiliwa channel ten??....................