Hii itakuwa na implication gani kisheria kama uchaguzi utarudiwa huko Zanzibar? Kwa sababu Jecha kasema karatasi za marudio ya uchaguzi ni zile zile za oct 25 ambazo zilikuwa na sura ya Hamad Rashid kama mgombea urais. Kama amefukuzwa uanachama ADC maana yake pia amepoteza sifa ya kuwa mgombea urais. Je Jecha na ZEC yake ya mafichoni wataendelea kutumia karatasi zile zile?
Hivi sigara kali bado ipo?hii sigara hapana chezea siku ya kwanza kuvuta enzi za uvulana habari yake ilikuwa kubwa!Huyu kigeu geu na hakika mfa maji daima haishi kutapa tapa.
Ngoja tusikie kahamia chama gani maana kuhamia chama kipya huyu ni kugusa.
Amekuwa kama sigara kali haijulikani wapi pa kuvutia wala wapi pa kuwashia.
Katika siasa hakuna kuona aibu, arudi tu kwenye chama chake cha zamani.
Kutobadilisha mgombea ni sahihi (assuming uchaguzi unarejewa kwa mujibu wa katiba) lakini inapotokea kifo ama kuvuliwa au kujivua uwanachama mgombea, kisheria chama inabidi kipewe haki ya kujaza ile nafasi. Hapa ni mtihani mwengine kwa Jecha na mkewe, we are led to believe huyo ndiye anayeshauriana nae kwenye kutowa uamuziI think was a calculated move kwa ccm kumtumia na waliona dalili mapema na ndiyo maana wasema hakutakuwa na wagombea wapya isipokuwa wazamani ndo wataendelea. Ngoja tuendelea movie ndo kwanza inaanza. Bila shaka watalazimisha Hamad kuwa mgombea ili kuharalisha uchaguzi.
Kutobadilisha mgombea ni sahihi (assuming uchaguzi unarejewa kwa mujibu wa katiba) lakini inapotokea kifo ama kuvuliwa au kujivua uwanachama mgombea, kisheria chama inabidi kipewe haki ya kujaza ile nafasi. Hapa ni mtihani mwengine kwa Jecha na mkewe, we are led to believe huyo ndiye anayeshauriana nae kwenye kutowa uamuzi
mgombea urais wa kwanza binafsi nchi hii .haa haa angekuwa wa kigoma angeenda act....