Hamad Rashid aomba huruma ya Rais kuwa makamu

njaa kila mtu anayo ila shida ni kuendekeza njaa kwa HR
 
Watu wanasikia kichefuchefu wakiona kifungu hiki, kila anayekuja anakataka pale anapoona panamfurahisha yeye lakini ukweli kifungu kinasomeka hivi;

39(i)(ii)
(i) iwapo chama kilichotokea nafasi ya pili katika matokeo ya kura ya Uchaguzi wa Rais kimepata chini ya asilimia kumi (10%) ya kura zote za Uchaguzi wa Rais,
au
(ii) endapo Rais atakuwa hana mpinzani, basi nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais itapewa chama chochote cha upinzani kilichotokea cha pili kwa wingi wa viti vya Majimbo katika Baraza la Wawakilishi.

Ndio maana Hamad Rashid anachosema, makamu wa rais toka upinzani kwa uchaguzi huu hakuna, bali nusuru ni nafasi mbili za uwakilishi wa baraza katika nafasi kumi za rais za upendeleo sababu kikatiba ni lazima watoke upinzani.
Kwa maelezo hayo basi ni dhahiri chama cha UPDP ndicho kitakachotoa makamu wa kwanza na sio chama cha ADC cha Ahmad Rashid kwàni chama cha UPDP kimepata mwakilishi mmoja wa kuchaguliwa anaitwa Assad Ahmad hivyo kinakidhi kigezo hicho cha kisheria
 
Hamad Rashid na Mbwembwe zake zote kapata asilimia tisa ya kura zote za uchaguzi wa Mazombi aibu iwe juu yake hii dhambi haitomwacha msaliti kama huyu.
 
HAMAD RASHID ...ANAKUWA KAMA HAWAJUI CCM ...HIZO KURA ZOTE WAMEZIIBA ..KWA WACHACHE WALIOSHIRIKI KUPEWA HADI KARATASI 10 KUPIGA KURA ....NI WAZI KAMA WANGETAKA KUFIX MAKAMU HAWANGESHINDWA KUMTANGAZA KAPATA ASILIMIA 10 %.......UKWELI NI KUWA CCM SAFARI HII HAWATAKI SERIKALI YA MSETO NA ZOMBIE YEYOTE
Kweli kabisa uliosema ccm bwana hamadi rashid hawajuwi sasa nipo chama Pemba kimepata kiti baraza LA wawakilishi hicho ndio kitatowa makamo wa rais lakini kwa ccm lolote linaweza kutokea
 
Hamad rashid kazi Yake ishaisha hakuna tena ccm wangetaka awe makamu warais wangempa hizo asilimia kumi tu
 
Wazee kama hawa mwisho wao unakuwaga mbaya sana.

Wahenga walisema" lishalovuusha si dau"na ukimfadhili punda shukran yake mateke" ndugu Ndugu hamad rashid CCM hawawezi kukulipa fadhila.

Hamad akisikika kuhojiwa na kituo kimoja cha radio "cocnut FM" ambapo alidai kua pamoja na kutofikia alau asilimia 10 ama imani katika nafasi 10 za Rais basi atatumia busara yake ili kuteua wawakilishi wa vyama vilisho shiriki uchaguzi .Bwana Hamad amedai wamekisaidia na kuunga mkono juhudi za serikali kufanikisha uchaguz .Kwa mana nyengine bw.Hamad anataka kulipwa fadhila.Bwana Hamad pia amedai bila ya upinzani hakuna serikali ya National Unity ambapo itakua kuna mgogoro wa kikatiba.

Napenda kumuelewesha kua Hata Rais akifanya uteuzi wa chama cha Hamad kwa viti vyote 10 katiba hairuhusu kumpa nafasi ya makamo wa kwanza wa Rasi .Labda CCM watumie nguvu kama walivyozoea .
Chengine CCM hii serikali ya umoja wa kitaifa hawaikubali na hawamkubali muasisi wake Dr karume.

Kwanini nafasi za uteuzi haziwezi kuhalalisha makamo wa Rais na kuzima ndoto za Bwana Hamad Rashid???
Katiba ya zanzibar 1984 toleo 2010

38(3)(ii)
"Endapo rais atakua hana mpinzani basi nafasi ya makamo wa kwanza wa rais itapewa chama chochote cha upinzani kilichotokea cha pili kwa wingi wa viti vya majimbo katika baraza la wawakilishi"

Kwa muktadha huo wingi wa viti vya majimbo mana yake si wabunge wakuteuliwa .Ni lazima iwe na majimbo ya kuchaguliwa na wananchi
 
Huyu jamaa wakati anafukuzwa CUF nlikuwa sijamjua rangi yake halisi,
Lakini kwa sasa kajivua uzalendo wake kwa mambo mawili tu, Kwanza amkomoe Maalim Seif kisa tu hawakuelewana ndani Ya CUF na kingine ni uchu wa madaraka,
Lakini anasahau naona bila wananchi wa zanzibar wote hakuna serikali,

Kuna binadamu ukimsikiliza na kumwangalia anavyoongea unaona jinsi alivyo..
 
Kwa maelezo hayo basi ni dhahiri chama cha UPDP ndicho kitakachotoa makamu wa kwanza na sio chama cha ADC cha Ahmad Rashid kwàni chama cha UPDP kimepata mwakilishi mmoja wa kuchaguliwa anaitwa Assad Ahmad hivyo kinakidhi kigezo hicho cha kisheria
Haswaaaa na ndiyo maana yeye kwenye umakamu amekata tamaa anasubiria nafasi mbili za upinzani ktk uwakilishi
 
Sijaj
Huyu jamaa wakati anafukuzwa CUF nlikuwa sijamjua rangi yake halisi,
Lakini kwa sasa kajivua uzalendo wake kwa mambo mawili tu, Kwanza amkomoe Maalim Seif kisa tu hawakuelewana ndani Ya CUF na kingine ni uchu wa madaraka,
Lakini anasahau naona bila wananchi wa zanzibar wote hakuna serikali,
Ivi uroho wa madaraka ukije au unatafsiriwa vipi??? Maana toka nimjue mzee sefu ye anagombea tu na huyu hamadi ndo nimemsikia akisimama kama mgombe katika uchaguzi huu?? kati yao nani mroho wa madaraka??
Huyu jamaa wakati anafukuzwa CUF nlikuwa sijamjua rangi yake halisi,
Lakini kwa sasa kajivua uzalendo wake kwa mambo mawili tu, Kwanza amkomoe Maalim Seif kisa tu hawakuelewana ndani Ya CUF na kingine ni uchu wa madaraka,
Lakini anasahau naona bila wananchi wa zanzibar wote hakuna serikali,
 
Watu wanasikia kichefuchefu wakiona kifungu hiki, kila anayekuja anakataka pale anapoona panamfurahisha yeye lakini ukweli kifungu kinasomeka hivi;

39(i)(ii)
(i) iwapo chama kilichotokea nafasi ya pili katika matokeo ya kura ya Uchaguzi wa Rais kimepata chini ya asilimia kumi (10%) ya kura zote za Uchaguzi wa Rais,
au
(ii) endapo Rais atakuwa hana mpinzani, basi nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais itapewa chama chochote cha upinzani kilichotokea cha pili kwa wingi wa viti vya Majimbo katika Baraza la Wawakilishi.

Ndio maana Hamad Rashid anachosema, makamu wa rais toka upinzani kwa uchaguzi huu hakuna, bali nusuru ni nafasi mbili za uwakilishi wa baraza katika nafasi kumi za rais za upendeleo sababu kikatiba ni lazima watoke upinzani.
Mkuu hizo nafasi mbili Hamad Rashid hawezi pata kwa nusra ya raisi Yani Raisi hakupewa mamlaka moja kwa moja ya kuchagua hizo nafasi kwa upinzani ila yule mpinzani aliepata kiti kimoja anaweza kupendekeza na si dhani kua anaweza kupendekeza chama kisichokua chake hahaha

katiba kifungu cha
Kutakuwa na Wajumbe kumi wa kuteuliwa wa Baraza la
Wawakilishi ambao watateuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu
wenye sifa zilizoelezwa na kifungu cha 68(a) na (c) cha Katiba ambao
wakiteuliwa watafaa kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Isipokuwa kwamba Wajumbe wasiopungua wawili watateuliwa
na Rais kwa kushauriana na Kiongozi wa Upinzani katika Baraza la
Wawakilishi au kwa kushauriana na Vyama vya Siasa vyenye uwakilishi
ndani ya Baraza la Wawakilishi iwapo hakuna Kiongozi wa Upinzani
 
Wahenga walisema" lishalovuusha si dau"na ukimfadhili punda shukran yake mateke" ndugu Ndugu hamad rashid CCM hawawezi kukulipa fadhila.

Hamad akisikika kuhojiwa na kituo kimoja cha radio "cocnut FM" ambapo alidai kua pamoja na kutofikia alau asilimia 10 ama imani katika nafasi 10 za Rais basi atatumia busara yake ili kuteua wawakilishi wa vyama vilisho shiriki uchaguzi .Bwana Hamad amedai wamekisaidia na kuunga mkono juhudi za serikali kufanikisha uchaguz .Kwa mana nyengine bw.Hamad anataka kulipwa fadhila.Bwana Hamad pia amedai bila ya upinzani hakuna serikali ya National Unity ambapo itakua kuna mgogoro wa kikatiba.

Napenda kumuelewesha kua Hata Rais akifanya uteuzi wa chama cha Hamad kwa viti vyote 10 katiba hairuhusu kumpa nafasi ya makamo wa kwanza wa Rasi .Labda CCM watumie nguvu kama walivyozoea .
Chengine CCM hii serikali ya umoja wa kitaifa hawaikubali na hawamkubali muasisi wake Dr karume.

Kwanini nafasi za uteuzi haziwezi kuhalalisha makamo wa Rais na kuzima ndoto za Bwana Hamad Rashid???
Katiba ya zanzibar 1984 toleo 2010

38(3)(ii)
"Endapo rais atakua hana mpinzani basi nafasi ya makamo wa kwanza wa rais itapewa chama chochote cha upinzani kilichotokea cha pili kwa wingi wa viti vya majimbo katika baraza la wawakilishi"

Kwa muktadha huo wingi wa viti vya majimbo mana yake si wabunge wakuteuliwa .Ni lazima iwe na majimbo ya kuchaguliwa na wananchi
je ikitokea viti vyote vya majimbo kashinda ccm watakaa bila makam?
 
Kwa maelezo hayo basi ni dhahiri chama cha UPDP ndicho kitakachotoa makamu wa kwanza na sio chama cha ADC cha Ahmad Rashid kwàni chama cha UPDP kimepata mwakilishi mmoja wa kuchaguliwa anaitwa Assad Ahmad hivyo kinakidhi kigezo hicho cha kisheria
hii ingewezekana kama raisi asingekuwa na mpinzani!! Ila kwa kuwa vyama vyote vilishiriki uchaguzi haitawezekana!
 
Hamad rashid kazi Yake ishaisha hakuna tena ccm wangetaka awe makamu warais wangempa hizo asilimia kumi tu
hamad rashid kama slaa....wazee wa kuvaa condom washamaliza kazi ...ccm bana wakiona mahala pana maambukizi yanaoweza kuwauwa wanajuwa kweli kutafuta condom ...tatizo condom huwa hazijijui..hamad rashid ni condom ...haivaliki tena ikishatumika
 
Back
Top Bottom