okay.... kwa hiyo kikao kilichowafukuza kilikuwa halali meaning walifukuzwa kihalali...Mahakama imejiridhisha kwamba, amri ya mahakama kuu ya kusitisha kikao cha BARAZA KUU kilichowafukuza uanachama HR na wenzake wanne haikufikishwa kwa chama kwa hivyo kikao husika kilikuwa halali.
kesi ya msingi kivipi tena wakati ushasema mahakama imeamua kwamba kikako kilichowafukuza kilikuwa halali, hiyo sio kesi ya msingi? Kesi ya msingi maana yake nini?Kesi ya msingi ambayo HR na wenzake waliifungua kupinga uhalali wa KAMATI YA MAADILI YA CHAMA itasikilizwa tarehe 28/01/2013
okay.... kwa hiyo kikao kilichowafukuza kilikuwa halali meaning walifukuzwa kihalali...
kesi ya msingi kivipi tena wakati ushasema mahakama imeamua kwamba kikako kilichowafukuza kilikuwa halali, hiyo sio kesi ya msingi? Kesi ya msingi maana yake nini?
kutoka mujibu wa julius mtatiro...
my take
nini hatma ya hamad rashid kisiasa maana ni wazi upepo si mzuri kwake?
Je ni wakati sasa wa cdm kufikiria kumpa nafasi mh. Rashid ili kuendelea kujijenga visiwani zanzibar baada ya kuwa na makada wa aina ya profesa safari?
Ni wazi mchango wa hamad rashid katika kuleta mageuzi nchini si wa kubeza. Aliweza kuiongoza kwa ushupavu kambi ya upinzani bungeni 2005-2010 na ikaleta matunda mazuri. Pamoja na kuhusishwa na adc (hakuna ushahidi) anaweza kupewa nafasi cdm?
Tujadili hoja, bila matusi
Kesi ya msingi ni ya Hamad Rashid kupinga kufukuzwa uanachama.Hii ya sasa ilikuwa ni ya Hamad dhidi ya CUF kukaidi amri ya mahakama ya kuendesha kikao cha kumfukuza Hamad
kwa mtu mwenye chembe ya akili baada ya maamzi haya ya mahakama sioni tena HR kama atashinda itakuwa kama ya madiwani wa cadema kule Arusha nanina mshauri afute kesi hiyo kupunguza garama atakazo kuja kutozwa..
Kesi moja Hamad alipinga kufukuzwa uanachama (haijawekwa sababu).Kesi ya msingi ni ya Hamad Rashid kupinga kufukuzwa uanachama.Hii ya sasa ilikuwa ni ya Hamad dhidi ya CUF kukaidi amri ya mahakama ya kuendesha kikao cha kumfukuza Hamad
Kesi moja Hamad alipinga kufukuzwa uanachama (haijawekwa sababu).
Kesi nyingine Hamad alipinga kufukuzwa uanachama kwa sababu kikao kilichomfukuza uanachama alidai si halali maana kilikaidi mahakama.
Sasa hapo kwa nini tuseme kesi moja ni ya msingi kuliko nyingine, tena ambayo haina maelezo ndio ya msingi, kesi ya msingi maana yake nini?
Waandishi wetu wa kibongo hamtutendei haki kabisa, hamueleweki!
Binafsi ningefurahi kama HR angejiunga na CDM, Tungekua rtumepata mshirika mzuri ktk siasa za Znb na wale waumini wa siasa za kidini ambao wamekua wakiongezeka sana ktk siku za karibvuni
Kwa hiyo ni kesi mbili tofauti, zote mbili zilipinga maamuzi ya CUF, moja ilipinga maamuzi kwa madai ya kutokuwepo uhalali wa kikao kilichofanya maamuzi, nyingine inapinga maamuzi na sababu ambazo hatujapewa. Bado sioni kwa nini moja iwe kesi ya msingi kuliko nyingine.Ubunge. Alichokifanya Hamad Rashid mbali na kesi yake ya msingi ya kupinga kufukuzwa uanachama alipinga pia uhalali wa kikao kilichomfukuza maana kilikuwa na zuio la mahakama ambalo ndiyo hilo Mahakama imeliamua juzi.
Kwa hiyo ni kesi mbili tofauti, zote mbili zilipinga maamuzi ya CUF, moja ilipinga maamuzi kwa madai ya kutokuwepo uhalali wa kikao kilichofanya maamuzi, nyingine inapinga maamuzi na sababu ambazo hatujapewa. Bado sioni kwa nini moja iwe kesi ya msingi kuliko nyingine.
Pole kwa kufiwa na mke mdogo! nani humu asiejua raha ya mke mdogo? Ukimtuma maji unamuangalia mgongo! Akikuletea maji unamuangalia usoni, daah; pole sana Mkuu!Nampa pole kwa kufiwa na mke mdogo. Inaonekana hawa wapemba mke mbili ndio utaratibu wao.
Aksante kwa ufafanuzi maana nimesikia tu kuwa huyu kaka kafiwa na mkewe nikahuzunika mno japo ni miaka mingi lakini mkewe namfahumu, hata hivo pole zimfikie kwani kifo ni kifo tuu.Nampa pole kwa kufiwa na mke mdogo. Inaonekana hawa wapemba mke mbili ndio utaratibu wao.
Mara ya kwanza ulisema kikao kilichomfukuza uanachama ambacho Rashid alipinga uhalali wake kwa vile kulikuwa na barua ya mahakama ni Baraza Kuu. Sasa hivi unasema ni kikao cha kamati ya maadili. Maelezo yako yana matatizo.CUF walipanga kufanya kikao cha kamati ya maadili ambacho pamoja na mambo mengine kilikuwa na agenda ya kumfukuza Hamad Rashid. Sasa Hamad alikimbilia Mahakamani kuzuia kikao hicho
amri ya mahakama kuu ya kusitisha kikao cha BARAZA KUU kilichowafukuza uanachama HR
nilifika jimboni kwake mwezi uliopita nikaongea na watu wa huko yaani wapiga kura wake jamaa hana ushawishi kabisa na walimkataa uchaguzi uliopita akaenda katibu wake kuwabembeleza wampe kura kwakuwa katibu huyo anaushawishi mkubwa pengine kuliko kiongozi yoyote znz walimsikiliza, hii inamaana waweza kuwa mwisho wa HR umefika..
utoto ndio unaokusumbua, ukikua utaacha!maswala ya kisiasa yanabadilika ka bahari si kitu cha kuaminika sana
Sio mpemba tu hiyo ni sheria ya uislamu kma ukiwa na uwezo unaweza kuoa hadi wake wa4