Tetesi: Hama hama ya wanaCHADEMA stopped

Tetesi: Hama hama ya wanaCHADEMA stopped

Anapingwa ndani na nje ya chama chake ,anapingwa ndani ya nchi na nje ya nchi aliyemchagulia hii njia alimpotosha hata akitumia ubabe kujibakisha madarakani miaka 5 ijayo itakua migumu sana kwake
 
Kwahiyo posho ziliwe bila kazi sio!

Pesa za walipa Kodi zinachezewa!
 
Wameona toka mrevi aanze kuitisha press hakuna watu wa maana wanaomuunga mkono. Hopefully hali ya kanda ya ziwa pia imewavuruga kuhusu mwitikio wao wa NRNE
 
Anapingwa ndani na nje ya chama chake ,anapingwa ndani ya nchi na nje ya nchi aliyemchagulia hii njia alimpotosha hata akitumia ubabe kujibakisha madarakani miaka 5 ijayo itakua migumu sana kwake
Huyu tayari watu wanadraft arrest warrant yake na mkwe wake Mchengerwa. Atulie tu aone watu watakavyoruka nae
 
Back
Top Bottom