hawa maninja wanasema chakula kisichofunikwa anae kula ana roho ngumuu mno
nikama wana sema...duuh hizi kanzu zina tunyima mengi....
inaelekea hawa maninja wanatamani uhuru wa namna hii........d
View attachment 32702
nikama wana sema...duuh hizi kanzu zina tunyima mengi....
View attachment 32703
inaelekea hawa maninja wanatamani uhuru wa namna hii........d
ALEX katika picha yako ya kwanza inatoa ujumbe kama vile wanawake ni ......ashakum si matusi, wanawake ni CHOMBO CHA STAREHE!
kweli dunia imekwisha.Kutembea uchi ndo utu au unyama?moja ya tofauti kati ya mtu na mnyama ni stara ya mavazi.Je huyu alie na nguo za chumbani na mumewe ni mtu au mbuzi asie na haya!hafikii walau hata stara ya kondoo mwenye kuinamisha macho yake chini kuogopa kuona uchi wa mbuzi.hawa maninja wanasema chakula kisichofunikwa anae kula ana roho ngumuu mno