Haluwa Haina Makombo.

aaaagh makombo yapo tuuu, wala hata siwezi kubali kula halua ya dizaini hiyoo, imetumikaaaaaaaa
 
ni kina nani hao..?

Huyo ni dogo Diamond na Wema sepetu (nisahihishwe kama nimekosea), Diamond ni mwanamziki wa bongofleva aliyechipukia takribani miaka 2 iliyopita, Wema aliwahi kuwa miss Tz.
 
hahahahahhahhaah we baki makombo makombo wenzio wala tatizo nini.....
 
Ikipigwa maji mpya hiyo kula mzigo tambaa lkini kama mtangazaji redio mawingu au??nikosoeni nami
 
Kweli huyo kitu huwa haina makombo ila ukitawaliwa na wivu lazima utahisi uliyonayo ni makombo na ukizidi zaidi utachimba mpaka utaona ni matapishi na si makombo tena ila kimsingi HUWA HAKUNA MAKOMBO other wise usinge zaliwa unadhani aliyekuleta hapa duniani alikutwa BIKRA na baba yako. MAKOMBO MAKOMBO acheni fikra za kipumbavu za kurudishana nyuma huyo ni Wema mtu maarufu hapa bongo ndio maana tunajua uchafu wake ila umeshakaa ukajiuliza kuhusu uchafu wa demu wako tusiyemjua na madudu yake ya gizani...unaweza kuta ni kinyaa kuliko hayo ya wema....acheni upuuuzi. MCHEKI DEMU WAKO VIZURI UNAWEZA KUTA ANATOA TENDE PALE SEWA BAR
 
mmhmmhmmmm.... haya, kwa heri ntarudi mkimaliza ku-comment..
 
Wema mtamu jamani acheni mchezo, lips julujulu na ukiunganisha la Diamond mhhhhhhhhhh, waacheni wale maraha hao, Wema akinipa hata mie nalamba acha waseme....
 
Niliwahi kukutana na Wema kwenye nightclub moja hivii dah!!nilishikika sana na yale maeneo yake ya katikati ,real she iz so cute.
lakini hamfikii mchuchu wangu banaaaaa noumerrr !!!lol.
 
Nikitazama picha kwa makini naona walikuwa wamezama sana ktk mahaba.Ukimuona kijana kidole kiko tayari sikioni kuchokonoa hisia za mpenzi wake.Nae mamaa tayari mkono wake haujacheza mbali na ikulu ya almasi.Kama mpigapicha angepiga nyingine baada ya dakika tano angekuta mkono wa wema uko ndani ya zipu na mkono wa almasi ushafika kifuani kwa mwenzie!!!Sijui walikuwa wapi ila penzi halichagui.Sijui kwa nini watu wenye tuji umaarufu wanapenda fanya michezo hii hadharani hadi paparazi wanawakuta?
 
hakuna halua hapo michipsi ya kona bar hiyo
 
Huyo ni dogo Diamond na Wema sepetu (nisahihishwe kama nimekosea), Diamond ni mwanamziki wa bongofleva aliyechipukia takribani miaka 2 iliyopita, Wema aliwahi kuwa miss Tz.

ohh kumbe huyu ndio dimond .. sikujuwa kama ni msomali.. wema naye kabadilika.
 
mwenyewe Almasi kadai atakayemtongoza wema atamfanya kitu mbaya asisahau maisha yake yote.Inaelekea dogo kakolezwa na mauno aka maunu ya wema.
 
mwenyewe Almasi kadai atakayemtongoza wema atamfanya kitu mbaya asisahau maisha yake yote.Inaelekea dogo kakolezwa na mauno aka maunu ya wema.
Sio msomali ni mambo ya barbershop hamna nywele ngumu sikuhizi ni hela yako tu.
 
hii picha imepigwa na nani ?:dance::dance::dance::dance:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…