Haloteli chenga sana

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
421
Reaction score
422
Asbui adi mida ya Jioni mnakuwa vzr sana ktk internet ikisha fika night mnayumba kama dela . yaani hamna kitu mtandao unakuwa chini sana hata kufungua jamiiforum nikwambinde sana. Naupenda sn mtandao wenu ila tatizo ni hilo .najua umu kuna wahusika naamini mtalifanyia kazi
 
Hawa jamaa ni vibuyu mkuu,,,uaiku dish linayumba hakuna kitu,, hata kitu cha mb1 kudownload ishuu..... Halotel keep changing tunahama aisee
 
Karibuni vodaa.. mpaka 3MB/S japo wanakula bando kama hawana akili nzuriii
 
hata voda kuna wakati isha inazingua ila tuzidi komaa ebu cheki ttcl mkuu
 
voda ni wazuri Ila mitambo yao INA tatizo inakula MB hatari

ukichati tu WhatsApp,telegram,jamii unashangaa kwa siku 1 umekula GB 2 mpk 3

ukianza na kudownload au insta unashangaa GB 10 kwa siku zinaenda
 
ttcl,sitaki hata kuusikia huu mtandao.Walijitangaza kwa mbwembwe eti rudi nyumbani kumenoga lakini hakuna kitu.
Tumia voda,au hata zantel
hata voda kuna wakati isha inazingua ila tuzidi komaa ebu cheki ttcl mkuu
 
Nimefunga ndoa takatifu na halotel sijawahi kujuta
 
Nimefunga ndoa takatifu na halotel sijawahi kujuta

Halotel kuna wakati wanakorofisha mitambo na wanakula bundle yote na hawarudishi, pia kuna wakati unajaza bundle halafu wanakutumia message bundle yako imeisha ukiangalia unaikuta bundle nzimaaa
 
Halotel kuna wakati wanakorofisha mitambo na wanakula bundle yote na hawarudishi, pia kuna wakati unajaza bundle halafu wanakutumia message bundle yako imeisha ukiangalia unaikuta bundle nzimaaa
mara kadhaa utaona huna salio punde tu umeweka gb 2
 
Halotel inazidiwa hata na tigo ,imekua slow sana
 
Hamna thread niliyopita nikaikosa hii text, commission wanalipaje mkuu?[emoji4] [emoji4]
 
Uwongo dhambi kwangu Halotel iko vizuri saaana tena saana imagine hebu kuanzia SAA 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi GB 60 zinasha pyuuu game na download kama sina akili kuna siku nilidownload call of duty advanced modern war ina GB 51 huwezi amino nilidownload tokea saa 15 usku mpaka SAA 10:48 asubuhi likawa limeisha nikaanza na movie ikawa GB 60 imekata nasema Hakuna kama Halotell...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaunga kifurushi gani boss?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…